Mkuu umejitahidi kuuleza lakini kuna makosa mengi ya kitaalamu... Zingine ni hadithi za vile jamii zinavyoamini kuhusu kinyonga(legend/myth) yaani hazina uthibitisho kisayansi...
Vinyonga hawana sumu... Wengi ni wapole(hufura midomoni na kutoa sauti pale wanapohisi hatari, baadhi yao wana meno...
Nyoka kwa ujumla wanapohisi hatari hukimbia isipokuwa pale unapombananisha akose pa kukukimbilia hapo lazima uchezee kichapo...nyoka jamii ya vipers kama akina puffader na gabon adder hawa ni jeuri hawakimbii hatari,hujifanya wamekufa ukisogea tu unachezea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.