Polepole aulizwa: Je, CCM inakiri kuwa ndiyo imetuangusha kama Taifa kwa mikataba mibovu ya madini?

Hv ni kwa nn mtu akiingia kweny utawala wa ccm akili zake zinapungua mpk ni zero hata km alikua ana akili Timam??
 
Wanajaribu kujinasua lakin kumbe mtego ni mgumu tena weny kamba nzito
Hawezi kujibu swali ambalo anajua moja kwa moja linamkaba kooni na kugawa chama
Ila jibu ni kuwa ccm wametuingiza kwenye mikataba mibovu sana na taifa linakuwa halina nguvu kwa sababu yao
Tutayumba sana kwa uchumi ila tuombe isifike kama nchi ya zimbabwe
 
Bila ushahidi hatudanganyiki TBC nao walisema kuwa TRUMP kampongeza Magu kumbe lilikuwa changa la macho.
 
Nimeipenda hiyo kwa sababu ndiyo confession yenyewe the bashite style. There will never be a clean man from ccm mpk Yesu atakaporudi

Ni bora ungesema vyama vya siasa Tanzania, kwani wote wanaongoza upinzani ni mazao ya ccm, hawakutoka pengine. Kwa hivyo kama asili ya ccm ni mbaya basi viongozi wote wa upinzania ni wabaya , wote wametoka chuo kimoja.
 
Akili ndogo hawawezi kumwelewa Polepole maana waandishi kanjanja wa Tz wote elimu feki

Tofauti yako na Polepole ni ndogo sana! Ungetakiwa useme ulichomwelewa wewe ili uonekane uko smart. Sasa wewe na cheti chako fake unataka kusema umemwelewa mr Slowslow, eleza basi ulichoelewa!
 
Yaani kwa ujumla hiki chama hakina namna kujinasua kumbuka mambo yote same task mania kuyatenda kwa hiyo ni vigumu kujinasua kwa jambo lolote .Hata angekuja Maika hawezi kubadilisha chochote hakuna wanaloweza kujitetea nalo ndo mwisho wakaja na wimbo wa Chagua Mtu siyo mgombea wa chama tena. Kitu ninajiuliza hivi 2020 wanaingia vipi ktk kampeni na ukiangalia Lulu yao Nape wamemwona hafai hapa ni timu isiyokuwa na kivutio. Lakini haya yote wanayapata kutokana na matendo yao ndo yanawahukkumu
 
Back
Top Bottom