sheriff john brown
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 717
- 716
Hii avatar yako huwa nashindwa kabisa kuizoea, kila nikiiona nacheka sana sijui kwanini.
Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa kuwa jamaa kaandika kuna aina 100 za vinyonga epuka kumuita Muongo.MTOA POST NI MUONGO
juzi tu siki 3 zilizopita huku mtaani kulikuwa na ubishi je kinyonga anazaa au anataga .Kwa bahati nzuri nikawa napita nikaitwa kwakuwa nina smart phone nimalize ubishi kwa kuwaonyesha youtube
Tuliona kinyonga wapo wanaozaa na wanaotaga na hakuna kinyonga eti azae ajiangushe kutoka juu ili apasuke ndio watoto wazaliwe na ubishi ukaishia hapo
Story za mababu vijijini mnatuletea hapa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha! Uliwahi kumgusa huyo jamaa?!Kinyonga kinatisha hafu ukigusana naye kwa ngozi anakuachia ile rangi yake hafu huwa anapumua.vibaya kwa nguvu. Ninavo muogopa naweza kufa wallah. Simpendi Mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahaha we jamaa weweEndelea kusema sumu mwenzio hapa nashushia na coca baridiii
Hii ya 16 sidhani kama ni kweli,ni imani tu potofu.Kinyonga ni kiumbe mwenye sifa ya kuwa na rangi nyingi, kiumbe huyu pamoja kuwa na sumu kali lakini ni mpole na hana matumizi mabaya ya sumu hiyo, ni kiumbe anayeogopwa sana japokuwa si mtata, pengine yawezekana ni mkwala wake anaotoa kwa kupanua mdomo wake anapohisi hatari au muonekano wake tuu, mbali na kuwa na macho yanavutia lakini pia ana sifa ya kutembea taratibu sana, si kwamba hawezi kabisa kuongeza spidi la hasha hata akiiongeza bado haitaweza fanana na viumbe wengine kama mjusi, hata hivyo usije fikiri hana wanyonge wake katika mwendo wapo wengi tuu hawamfikii mwendo kinyonga, kama jongoo, washawasha na hata konokono.
Duniani kuna aina zaidi ya 100 ya vinyonga chakula chake kikuu ni wadudu, kama kumbi kumbi, nzi, na wengineo wa aina hiyo, Madume wa vinyonga ndio huishi miaka mingi zaidi ya 2 na isiyozidi mitano, wakati majike huishi muda mfupi sana kwakuwa punde tuu wanapozaa hufa.
SIFA ZA KIPEKEE ZA KINYONGA.
1. Hubadiri rangi kutokana na mazingira
Sababu kuu ya kufanya hivyo ni kujikinga na maadui asionekane kwa urahisi, maana uwezo wake katika mapambano ni Mdogo.
2. Huweza kuelekeza macho yake sehemu tofauti.
Kinyonga ana uwezo jicho lake moja kutizama vitu vya mbele na jicho lake la pili akatizama nyuma na yote yakifika katika ubongo yakachambuliwa.
3. Ulimi wake ni mrefu kuliko mwili wake wote.
Hivyo silaha yake kubwa wakati wa mawindo ni ulimi wake ambao huweza kuurusha mbali pindi atafutapo chakula chake.
4. Kinyonga huwa hazai
Maumbile ya jinsi yake huwa hayawezi kutanuka hivyo namna pekee ya kuwatoa watoto wake tumboni ni tumbo lake likimzidia uzito tuu, hujiachia toka juu na kupasuka ndipo watoto hutoka na mama kufa.
5. Kinyonga huanza kujitegemea kuanzia sekunde aliyozaliwa.
Na hii ni kutokana na mama yake anapokufa ili azae.
6.Kinyonga ni kiumbe anayethamini sana usalama.
Na ndio maana hata atembea hujiuliza Mara Mbili kabla ya kushusha mguu wake.
7. Hapendi kuonekana onekana sana
8. Huzaliana sana wakati wa mvua
9. Hupendelea kukaa kwenye miti yenye matunda matunda
10. Sumu yake kubwa ni ugoro, ukimpa hiyo kitu atahangaika sana kabla ya kifo kumpata.
11. Anapopata maumivu hubadilika badilika rangi na hiyo humsaidia kupunguza maumivu.
12. Macho yake huzunguka
13. Pamoja na kubadirika badirika rangi lakini kila kinyonga ana rangi yake kuu.
14. Wapo vinyonga wenye rangi nzuri sana hasa ile kuu.
15. Vinyonga pia hutofautiana kutokana na aina zao, wapo ambao huwa na nundu kichwani, wapo wenye pembe, wapo wanaovimba mashavu, wapo wenye mapezi kama samaki no.
16.Mikono yake ina chembe chembe za nta akikukamata mpaka aamue yeye kukuacha au wakupeleke kwa shangazi yako akutoe (sasa kama shangazi naye muoga unalo) hahahahaha
#Mwisho
Nchi nyingine huwafanya vinyonga kama mapambo ya ndani, je ukipewa watano na maliasiri waweza weka chumbani kwako na umeme huu wa mashaka ?
Hahahaha !
Wanaotaga mayai baada ya watoto kutoka hawadumu zaidi ya miezi 5 wanakufa.Kinyonga wako wanaozaa na wanaotaga mayai.Hao wanaozaa wanazaa kawaida tu aidha juu ya mti au chini kwenye majani au vichaka vidogo,ilo lakuzaa kwakujitupa ili tumbo lipasuke nadhani ni stori za vijiweni tu.
Nadhan atapiga hata round kumi !halafu akijitupa chini ili azae halafu ikatokea tumbo halijapasuka atapanda tena juu?
Mimi nina uhakika kinyonga anataga mayai. Hiyo ya kuzaa ni hadithi.Kinyonga ni kiumbe mwenye sifa ya kuwa na rangi nyingi, kiumbe huyu pamoja kuwa na sumu kali lakini ni mpole na hana matumizi mabaya ya sumu hiyo, ni kiumbe anayeogopwa sana japokuwa si mtata, pengine yawezekana ni mkwala wake anaotoa kwa kupanua mdomo wake anapohisi hatari au muonekano wake tuu, mbali na kuwa na macho yanavutia lakini pia ana sifa ya kutembea taratibu sana, si kwamba hawezi kabisa kuongeza spidi la hasha hata akiiongeza bado haitaweza fanana na viumbe wengine kama mjusi, hata hivyo usije fikiri hana wanyonge wake katika mwendo wapo wengi tuu hawamfikii mwendo kinyonga, kama jongoo, washawasha na hata konokono.
Duniani kuna aina zaidi ya 100 ya vinyonga chakula chake kikuu ni wadudu, kama kumbi kumbi, nzi, na wengineo wa aina hiyo, Madume wa vinyonga ndio huishi miaka mingi zaidi ya 2 na isiyozidi mitano, wakati majike huishi muda mfupi sana kwakuwa punde tuu wanapozaa hufa.
SIFA ZA KIPEKEE ZA KINYONGA.
1. Hubadiri rangi kutokana na mazingira
Sababu kuu ya kufanya hivyo ni kujikinga na maadui asionekane kwa urahisi, maana uwezo wake katika mapambano ni Mdogo.
2. Huweza kuelekeza macho yake sehemu tofauti.
Kinyonga ana uwezo jicho lake moja kutizama vitu vya mbele na jicho lake la pili akatizama nyuma na yote yakifika katika ubongo yakachambuliwa.
3. Ulimi wake ni mrefu kuliko mwili wake wote.
Hivyo silaha yake kubwa wakati wa mawindo ni ulimi wake ambao huweza kuurusha mbali pindi atafutapo chakula chake.
4. Kinyonga huwa hazai
Maumbile ya jinsi yake huwa hayawezi kutanuka hivyo namna pekee ya kuwatoa watoto wake tumboni ni tumbo lake likimzidia uzito tuu, hujiachia toka juu na kupasuka ndipo watoto hutoka na mama kufa.
5. Kinyonga huanza kujitegemea kuanzia sekunde aliyozaliwa.
Na hii ni kutokana na mama yake anapokufa ili azae.
6.Kinyonga ni kiumbe anayethamini sana usalama.
Na ndio maana hata atembea hujiuliza Mara Mbili kabla ya kushusha mguu wake.
7. Hapendi kuonekana onekana sana
8. Huzaliana sana wakati wa mvua
9. Hupendelea kukaa kwenye miti yenye matunda matunda
10. Sumu yake kubwa ni ugoro, ukimpa hiyo kitu atahangaika sana kabla ya kifo kumpata.
11. Anapopata maumivu hubadilika badilika rangi na hiyo humsaidia kupunguza maumivu.
12. Macho yake huzunguka
13. Pamoja na kubadirika badirika rangi lakini kila kinyonga ana rangi yake kuu.
14. Wapo vinyonga wenye rangi nzuri sana hasa ile kuu.
15. Vinyonga pia hutofautiana kutokana na aina zao, wapo ambao huwa na nundu kichwani, wapo wenye pembe, wapo wanaovimba mashavu, wapo wenye mapezi kama samaki no.
16.Mikono yake ina chembe chembe za nta akikukamata mpaka aamue yeye kukuacha au wakupeleke kwa shangazi yako akutoe (sasa kama shangazi naye muoga unalo) hahahahaha
#Mwisho
Nchi nyingine huwafanya vinyonga kama mapambo ya ndani, je ukipewa watano na maliasiri waweza weka chumbani kwako na umeme huu wa mashaka ?
Hahahaha !
Mkuu umejitahidi kuuleza lakini kuna makosa mengi ya kitaalamu... Zingine ni hadithi za vile jamii zinavyoamini kuhusu kinyonga(legend/myth) yaani hazina uthibitisho kisayansi...Kinyonga ni kiumbe mwenye sifa ya kuwa na rangi nyingi, kiumbe huyu pamoja kuwa na sumu kali lakini ni mpole na hana matumizi mabaya ya sumu hiyo, ni kiumbe anayeogopwa sana japokuwa si mtata, pengine yawezekana ni mkwala wake anaotoa kwa kupanua mdomo wake anapohisi hatari au muonekano wake tuu, mbali na kuwa na macho yanavutia lakini pia ana sifa ya kutembea taratibu sana, si kwamba hawezi kabisa kuongeza spidi la hasha hata akiiongeza bado haitaweza fanana na viumbe wengine kama mjusi, hata hivyo usije fikiri hana wanyonge wake katika mwendo wapo wengi tuu hawamfikii mwendo kinyonga, kama jongoo, washawasha na hata konokono.
Duniani kuna aina zaidi ya 100 ya vinyonga chakula chake kikuu ni wadudu, kama kumbi kumbi, nzi, na wengineo wa aina hiyo, Madume wa vinyonga ndio huishi miaka mingi zaidi ya 2 na isiyozidi mitano, wakati majike huishi muda mfupi sana kwakuwa punde tuu wanapozaa hufa.
SIFA ZA KIPEKEE ZA KINYONGA.
1. Hubadiri rangi kutokana na mazingira
Sababu kuu ya kufanya hivyo ni kujikinga na maadui asionekane kwa urahisi, maana uwezo wake katika mapambano ni Mdogo.
2. Huweza kuelekeza macho yake sehemu tofauti.
Kinyonga ana uwezo jicho lake moja kutizama vitu vya mbele na jicho lake la pili akatizama nyuma na yote yakifika katika ubongo yakachambuliwa.
3. Ulimi wake ni mrefu kuliko mwili wake wote.
Hivyo silaha yake kubwa wakati wa mawindo ni ulimi wake ambao huweza kuurusha mbali pindi atafutapo chakula chake.
4. Kinyonga huwa hazai
Maumbile ya jinsi yake huwa hayawezi kutanuka hivyo namna pekee ya kuwatoa watoto wake tumboni ni tumbo lake likimzidia uzito tuu, hujiachia toka juu na kupasuka ndipo watoto hutoka na mama kufa.
5. Kinyonga huanza kujitegemea kuanzia sekunde aliyozaliwa.
Na hii ni kutokana na mama yake anapokufa ili azae.
6.Kinyonga ni kiumbe anayethamini sana usalama.
Na ndio maana hata atembea hujiuliza Mara Mbili kabla ya kushusha mguu wake.
7. Hapendi kuonekana onekana sana
8. Huzaliana sana wakati wa mvua
9. Hupendelea kukaa kwenye miti yenye matunda matunda
10. Sumu yake kubwa ni ugoro, ukimpa hiyo kitu atahangaika sana kabla ya kifo kumpata.
11. Anapopata maumivu hubadilika badilika rangi na hiyo humsaidia kupunguza maumivu.
12. Macho yake huzunguka
13. Pamoja na kubadirika badirika rangi lakini kila kinyonga ana rangi yake kuu.
14. Wapo vinyonga wenye rangi nzuri sana hasa ile kuu.
15. Vinyonga pia hutofautiana kutokana na aina zao, wapo ambao huwa na nundu kichwani, wapo wenye pembe, wapo wanaovimba mashavu, wapo wenye mapezi kama samaki no.
16.Mikono yake ina chembe chembe za nta akikukamata mpaka aamue yeye kukuacha au wakupeleke kwa shangazi yako akutoe (sasa kama shangazi naye muoga unalo) hahahahaha
#Mwisho
Nchi nyingine huwafanya vinyonga kama mapambo ya ndani, je ukipewa watano na maliasiri waweza weka chumbani kwako na umeme huu wa mashaka ?
Hahahaha !
Hahaha! Hili la 16 huuitaji shangazi aisee... Kama unavijua hivi viumbe na unakaujasiri unakamata tuKinyonga ni kiumbe mwenye sifa ya kuwa na rangi nyingi, kiumbe huyu pamoja kuwa na sumu kali lakini ni mpole na hana matumizi mabaya ya sumu hiyo, ni kiumbe anayeogopwa sana japokuwa si mtata, pengine yawezekana ni mkwala wake anaotoa kwa kupanua mdomo wake anapohisi hatari au muonekano wake tuu, mbali na kuwa na macho yanavutia lakini pia ana sifa ya kutembea taratibu sana, si kwamba hawezi kabisa kuongeza spidi la hasha hata akiiongeza bado haitaweza fanana na viumbe wengine kama mjusi, hata hivyo usije fikiri hana wanyonge wake katika mwendo wapo wengi tuu hawamfikii mwendo kinyonga, kama jongoo, washawasha na hata konokono.
Duniani kuna aina zaidi ya 100 ya vinyonga chakula chake kikuu ni wadudu, kama kumbi kumbi, nzi, na wengineo wa aina hiyo, Madume wa vinyonga ndio huishi miaka mingi zaidi ya 2 na isiyozidi mitano, wakati majike huishi muda mfupi sana kwakuwa punde tuu wanapozaa hufa.
SIFA ZA KIPEKEE ZA KINYONGA.
1. Hubadiri rangi kutokana na mazingira
Sababu kuu ya kufanya hivyo ni kujikinga na maadui asionekane kwa urahisi, maana uwezo wake katika mapambano ni Mdogo.
2. Huweza kuelekeza macho yake sehemu tofauti.
Kinyonga ana uwezo jicho lake moja kutizama vitu vya mbele na jicho lake la pili akatizama nyuma na yote yakifika katika ubongo yakachambuliwa.
3. Ulimi wake ni mrefu kuliko mwili wake wote.
Hivyo silaha yake kubwa wakati wa mawindo ni ulimi wake ambao huweza kuurusha mbali pindi atafutapo chakula chake.
4. Kinyonga huwa hazai
Maumbile ya jinsi yake huwa hayawezi kutanuka hivyo namna pekee ya kuwatoa watoto wake tumboni ni tumbo lake likimzidia uzito tuu, hujiachia toka juu na kupasuka ndipo watoto hutoka na mama kufa.
5. Kinyonga huanza kujitegemea kuanzia sekunde aliyozaliwa.
Na hii ni kutokana na mama yake anapokufa ili azae.
6.Kinyonga ni kiumbe anayethamini sana usalama.
Na ndio maana hata atembea hujiuliza Mara Mbili kabla ya kushusha mguu wake.
7. Hapendi kuonekana onekana sana
8. Huzaliana sana wakati wa mvua
9. Hupendelea kukaa kwenye miti yenye matunda matunda
10. Sumu yake kubwa ni ugoro, ukimpa hiyo kitu atahangaika sana kabla ya kifo kumpata.
11. Anapopata maumivu hubadilika badilika rangi na hiyo humsaidia kupunguza maumivu.
12. Macho yake huzunguka
13. Pamoja na kubadirika badirika rangi lakini kila kinyonga ana rangi yake kuu.
14. Wapo vinyonga wenye rangi nzuri sana hasa ile kuu.
15. Vinyonga pia hutofautiana kutokana na aina zao, wapo ambao huwa na nundu kichwani, wapo wenye pembe, wapo wanaovimba mashavu, wapo wenye mapezi kama samaki no.
16.Mikono yake ina chembe chembe za nta akikukamata mpaka aamue yeye kukuacha au wakupeleke kwa shangazi yako akutoe (sasa kama shangazi naye muoga unalo) hahahahaha
#Mwisho
Nchi nyingine huwafanya vinyonga kama mapambo ya ndani, je ukipewa watano na maliasiri waweza weka chumbani kwako na umeme huu wa mashaka ?
Hahahaha !
Duh mkuu unawezaje kumshika huyu kiumbe? Yaani mimi nikimuona nasisimka ngozi hadi inaanza kuwasha, Mama yangu huwa anatapika sana akimuona kinyonga.Hahaha! Hili la 16 huuitaji shangazi aisee... Kama unavijua hivi viumbe na unakaujasiri unakamata tuView attachment 1535068
Sent from my RMX1971 using JamiiForums mobile app
Mkuu inawezekana kabisa...Duh mkuu unawezaje kumshika huyu kiumbe? Yaani mimi nikimuona nasisimka ngozi hadi inaanza kuwasha, Mama yangu huwa anatapika sana akimuona kinyonga.