Recent content by thegreen

  1. thegreen

    JamiiForums Tanzania Wachawi wanavyoiba nyota za watu wanafanyaje?

    Mkuu kuna jamaa huko mwanzoni aliandika umchekie yeye ni amezaliwa November 22nd. Naona umemruka
  2. thegreen

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Mbona mnatuchanganya Wasomaji!!? hivi ni Urgent au Agent 🥱
  3. thegreen

    JamiiForums Tanzania Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

    wao wana mikakati na mipango ya vizazi na vizazi, huku nyumbani tangu uhuru watu wanategemea chanzo cha maji wanashindwa kuwa na plan b incase ukame na Mabadiliko ya tabia nchi yakitokea tujue tunajikwamua vipi. Watu wakiijiriwa huko serikalini kila mtu anawaza upigaji hamna hata Kiongozi...
  4. thegreen

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Mkuu, tupe sifa ya hii kidogo. Ukiweza na picha tafadhali
  5. thegreen

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Nyumba zinazonukia, Wanafanyaje?

    [emoji23][emoji23][emoji23] mkuu, ni chakula gani hicho
  6. thegreen

    JamiiForums Tanzania Form 4 mwenye ndoto za kusomea IT usipoteze mda wako kwenda form 6, nimekupa ramani nzima hapa

    ...mkuu, hii CS50 computer science inayosomwa kule edX unaionaje. Wanaweza kuanza nayo au[emoji2375]
  7. thegreen

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wazungu huvaa kishamba ilihali wana hela?

    Hawavai kishamba bali wako simple tu, washamba ni wale wanaosafiri kwa bus hasa hizi za mikoani tuseme bus ya Dar to Mwanza halafu unakuta kavaa suti na mtu kwa safari ndefu za aina hiyo ni kuvaa nguo za kawaida tu kama timbaland bukta yako, T-shirt na sandals. Kuna rafiki yangu alipata safari...
  8. thegreen

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Ok, nitajitahidi.
  9. thegreen

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    ...hapana kk sina contacts, kwanza hao waimbaji wa praise hakuna hata mmoja nilikuwa namfahamu kwa majina. Sura zao tu
  10. thegreen

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Mkuu, hebu jitahidi kuniulizia ulizia. Maana ni miaka mingi imepita mara ya mwisho kuusiikiliza huu ilikuwa ni 1999 redioni.
  11. thegreen

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    ...nahisi itakuwa hivyo, kipindi kile hadi wanafunzi wa veta walikuwa wanakuja kuabudu pia. Kuna mdada mmoja nambuka alikuwa pale praise mwembamba mweupe anavaa miwani yaan ilikuwa ikifika wiki yake hiyo asubuhi ataimba hadi unaona wachungaji wanafurahi. Mwaka jana sikumkuta niliuliza alipo...
  12. thegreen

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Wengine wameolewa, wengine waneshahama makanisa nilikuwa hapo Mwaka jana mwezi wa kumi ni sura ngeni na mpya tu ndo niliona kwa hiyo praise
  13. thegreen

    JamiiForums Tanzania Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

    Mkuu, huu unyunyu nauona sana IG unaweza nisaidia kidogo sifa zake maana kila anayeuza marashi huko naona ana-upload picha za hii inaonekana ni kisanga[emoji16]
  14. thegreen

    JamiiForums Tanzania Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

    Hii naikumbuka, kipindi nakua dingi alikuwa nayo. Nilikuwa nikivunja kabati naenda kumgongea (collabo) kimyakimya chumbani kwake[emoji16].
  15. thegreen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hizo mambo za muamala ni siku ingine, ita hiyo manzi ghetto & finya kisawasawa[emoji16]🥱. Budaa, invite hiyo dem haraka
Back
Top Bottom