Recent content by theCriticalOne

  1. theCriticalOne

    JamiiForums Tanzania Uraia pacha kwa taifa changa ni kifo kuliko faida

    Sababu za Kukataa Uraia pacha ndio Nyepesi sasa! Hazina Mashiko na zimejikita kwenye HOFU ZA KISHAMBA tu.
  2. theCriticalOne

    JamiiForums Tanzania Boss wangu amemtolea mahari mwanamke mwingine; naumia sana

    Mistake ya kwanza ilikua ni kutoka na Boss wako kwa matarajio ya Kuolewa. Kwa Boss anayejitambua, Kuoa mfanyakazi ni kosa la Kubwa sana, Linachafua taswira yake mbele ya wafanyakazi wengine kwamba alikua analala na mfanyakazi wake kinyume na maadili. Hapo kachagua heshima yake, Wewe ndio...
  3. theCriticalOne

    JamiiForums Tanzania Ananitafuta tarehe za mshahara tu

    Kama unapiga, Shida yako nini? Unampa hela, anakupa korongo.... Ni Biashara. Mambo mengine hata sio ya Kuleta hapa. Hizo siku zingine anaishije sio business yako kujua. Ila inaonekana utakuwa ulimzoesha kumcheki mwisho wa mwezi naye akazoea hivo na ndio maana anakucheki kila mwisho wa mwezi...
  4. theCriticalOne

    JamiiForums Tanzania Je, nirudiane nae au niachane nae moja kwa moja?

    Hujielewi. Uhusiano ni wa watu wawili lakini kwa Ufinyu wako wa Akili umeingiza sijui kaka zao na Mama yako humo ndani unategemea nini? Hivi kila linalotokea kwenye Uhusiano wenu Mumeo angekuwa anaongea na Dada zake na Mama yake Wakushauri kila siku, Hiyo ndoa ungeifurahia? Ungefurahia mambo...
  5. theCriticalOne

    JamiiForums Tanzania Nimfanye nini huyu mwanamke?

    Mwanamke Mpumbavu huyo. Wewe kaa kimya tu kwa sasa.
  6. theCriticalOne

    JamiiForums Tanzania Kuota uko unapiga na paper halafu kitu kinakupanikisha

    Aisee hii imenikuta mara nyingi pia,
  7. theCriticalOne

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mabati ya 'reject' yamekufikisha wapi baada ya muda gani?

    BAHILI HULIPA MARA MBILI
  8. theCriticalOne

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atangaza kamati 3 zilizoundwa na Serikali kukabiliana na Corona Virus

    Lengo ni kula posho tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. theCriticalOne

    JamiiForums Tanzania Walimwengu wanataka kunitoa roho eti sababu namdate huyu dada

    Bro, unazingua Sent using Jamii Forums mobile app
  10. theCriticalOne

    JamiiForums Tanzania Sipewi unyumba

    Huo ni Ufala. Miaka miwili hujapewa? Haha, wewe ni kaka yake sio mpenzi wake. Na kama wadau kibao walivosema, Kuna jamaa anapewa yote kila dakika akiitaka. Pole sana dogo. Ukikua utaacha.
  11. theCriticalOne

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

    Na mkewe anakubali eti,
  12. theCriticalOne

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

    Una umri gani
  13. theCriticalOne

    JamiiForums Tanzania Ninataka nioe bila kushiriki tendo la ngono na mchumba wangu

    Wanawake wana siri nyingi. Shauri yako
  14. theCriticalOne

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asielia kwenye kuchi kuchi anachosha!

    Hujapakuna panapowasha
Back
Top Bottom