KUNA MDAU AMENIAMBIA KUWA KODI YA MAGARI AMBAYO IMESAMEHEWA NA TRA NI KODI YA MAGARI MAPYA NA SIO YA ZAMANI YAAN WENYE MADENI YAPO PALE PALE
JE WANA JF NAOMBENI KUJUZWA KODI IPI HASWA AMBAYO IMESAMEHEWA AU KUFUTWA KABISA?????
NAULIZA?????
TWEETER.
Humphrey Polepole ondoa hizo akili za kizee.
ETI CCM MPYA. :"NINA HASIRA NA AKESHIA"
Mvinyo ni mvinyo tu hata ukiuweka kwenye chupa mpya, chupa ni kibebeo tu haibadilishi ladha ya mvinyo.
KAA CHINI UFIKIRI UWEZE KUJA NA HOJA INAYOLINGANA NA UJANA WAKO.
KAMPUNI YA MAXCOM HAIJAWALIPA WAFANYAKAZI WAKE (CASHIERS) MISHAHARA YAO MWEZI WA PILI SASA NA WANAWAKATA MADENI !
SWALI
KAMA HAUJAMLIPA MFANYAKAZI MSHAHARA WAKE MIEZI MIWILI UNATEGEMEA ATAFANYAJE KAZI NA ANAISHIJE HAWA WATU MBONA HAWANA HURUMA???????????
NDUGU WANAJAMII TUWASADIE HAWA WATU...
TATHIMINI YA AJALI ILIOUA WANAFUNZI WA LUCKY VINCENT ARUSHA.
Basi tunaloliona kwenye picha ya ajali hubeba abiria 26 wanaotakiwa kukaa kwenye viti na kufunga mikanda. .
Ukiongeza Makonda abiria hawatazidi 28. Huo ndio uwezo wa Coaster.
Taarifa za trafik zinasema walizuia gari lisiendelee na...
Kwa siku nne zilizopita kumekuwa na taharuki baada ya ‘kutekwa’ kwa wasanii wa Bongo Fleva, Roma, Moni na wenzie lakini habari njema ni kuwa kwa sasa wamepatikana. Tukio hilo limezua mijadala mingi katika mitandao ya kijamii.
Wakati mijadala ikiwa inaendea na watu kuhoji wapi alipo Roma na...
Hii ya mbona mimi naona kama imekaa kiki kiki hivi au wadau mnaonaje maana haieleweki ''''''Wasanii watatu ambao ni Roma, Monii Central Zone, Bin Laden pamoja na Imma ambaye ni mfanyakazi wa Mama mzazi wa mmiliki wa studio za Tongwe Records J Murder, mpaka muda huu hawajaweza kupatikana na...
kuongoza kumeshamshinda nchi inaenda kubaya IMF wameshasema tutakuwa kama zimbabwe au burundi ubishi tu,kupenda ubuyu ebwana jamaa anapenda umbea duh, sasa kwani hakuna namna ya kuweza kumuondoa kama ipo wanafanyaje mimi nadhani imefika mahali tuseme basi........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.