Recent content by the_legend

  1. the_legend

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wadau the_legend nlipotea kidogo hewani for several months due to unavoidable circumstances. Ila nimerudi hewani safe and sound. Kwa wale wadau wa connections tunaendelea tulipoishia, upendo unaendelea kusambazwa as usual.
  2. the_legend

    Kuna madhara kutumia ARV's kwa mtu asiye mgonjwa?

    Kwanini usitumie PrEP (Pre-exposure Prophylaxis), yaani dawa kinga?
  3. the_legend

    Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

    Shawshank Redemption The Good, the Bad and the Ugly Godfather 1 & 2 Predator Terminator 2 Rango
  4. the_legend

    Madee: Ni ushamba kupiga mwizi

    [emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha enzi za kufuga magapi, tambala, kitenge, gold, zebra, na kwenda baharini kutafuta mapango
  5. the_legend

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kwa hapo tumekubaliana mkuu[emoji1666], hakuna tena cha kubishania
  6. the_legend

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Safi mkuu. Mi chama langu ni Milan tangu nipate ufahamu wa mpira nikiwa mdogo, na kamwe sitawahi kushabikia timu Epl. Binafsi Epl naifuatilia sababu ya ligi za hela za Fantasy Premier league, ambazo huwa najiunga kila msimu
  7. the_legend

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hivi unaelewa kweli unachoandika? Kwamba sababu La Liga au Serie A hazionyeshwi vibanda umiza unahisi watu hawafuatilii?
  8. the_legend

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hawawezi kuelewa mkuu. Hiyo tuzo nakumbuka ilitolewa Rome siku kadhaa kabla ya kumaliza karne ya 20, December 2000. Madrid ikashinda kwa zaidi ya asilimia 43, Man U akawa wa pili kwa asilimia kama 9 hivi na Bayern wa tatu. Milan tulikua wa 9. Fifa wameitambua Madrid kama klabu bora kwa miaka 100...
  9. the_legend

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tatizo mmekariri kwamba kila anaependa mpira lazima awe na timu England. Binafsi ni die hard fan wa Ac Milan, nafuatilia Serie A kama mnavyofuatilia Epl. Sina timu nnayoshabikia England zaidi ya kuwaheshimu tu Liverpool ambao Milan tuna historia nao. Ila sababu napenda mpira naangalia sana na...
  10. the_legend

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kwa waliozaliwa 2000's ni sahihi unachosema. Sababu ule msimu wa 2010-2011 ambao City alichukua Epl dakika ya mwisho kwa goli la kihistoria la Aguero vs QPR ni mwaka ambao waliozaliwa 2000's ni kama ndo walianza kua na ufahamu wa mpira
  11. the_legend

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Umemaliza kila kitu mkuu. Binafsi ni mshabiki wa Ac Milan, nlianza kuipenda tangu nikiwa mdogo miaka ile tupo kwenye ubora wetu. Nawaangaliaga sana wanaojifanya mashabiki wa Man city bongo, ni watafuta faraja tu
  12. the_legend

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hana baya kabisa. Upewe maua yako
  13. the_legend

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Pamoja sana. Ile project ya Mbeya nlikuwakilisha vizuri👊
  14. the_legend

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    😂😅😂soon ntarudi pande hizo, wajiandae kisaikolojia. Ila mwanangu kuna mirejesho miwili mitatu bado hujanipa
  15. the_legend

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Watoto wa kule hawana baya kabisa, na wakijua kua ni mgeni ndo kabisa, utawagonga mpaka basi. Huwa naenjoy sana nikiwa pande zile
Back
Top Bottom