Recent content by The Wisdom

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

    Hapo kisicho na stress ni nyumba za kupangisha tu Biashara nyingi kwanza zinataka uwepo na uzoefu ....maana sio uje upatie uzoefu kwenye hela ya mtaji utalia Maana ndio kinacholizaga wastaafu hicho
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kukutana na mke wa mtu mpumbavi kama huyu

    Wanawake huwa wapo Emotional sana Mwanamke yeyote ambaye anatoka nje labda ni M1 kwa 10 tu ambaye hamsemi mume wake vibaya kwa hawala yake Lkn Wanaume huwa wako Rational akishakuwa na mchepuko lazima huwa dhamira inamsuta kuhusu nyumbani kwake au mke wake na huwa kuna mapenzi home ni M1 kwa 10...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ajiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    saaa itakuwaje?
  4. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kaoge afariki dunia

    Sina neno hapa kila mtu na Mungu wake au usiwe na Mungu utajua wewe unapo paamini au unayemwamini Lkn mwisho wa siku Lazima kuna Mmiliki wa ulimwengu huu Ndio yeye atakayejua nani ni nani Na amefanya nini nani kafanya kosa na hajakosa!!.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tumia M-Pesa at your own Risk!

    Nafikiri vodacom wapo humu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mengi yazidi kuibuka kuhusu Nyalandu

    Swali moja tu Mtoa mada unataka kusema kuna kulindana ndani systm kama sio hii hoja ilikuwa wapi siku zote? Najaribu kuwaza kwa maandishi!!!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hawawaamini Madaktari wetu, wanataka ushirikiano na Balozi zetu!

    Jambo lolote baya ulisikie kwa jirani tu!! Imefikia watz utu unatutoka kisa siasa!! Yaani mtu yuko radhi kabisa kuona balaa likimtokea jirani yake kwasababu hakumpenda tu!! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe anakera anavyolazimisha urafiki na CCM. Chama kinahitaji majasiri kama Heche, Lijualikali, Kiwanga..

    Well u said!! Kula na like [emoji106] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Lowassa kwa Ushindi huu wa Raila Odinga mtaweka wapi sura zenu?

    Mleta mada mbona ngoma droo hapo Na kwa hii democrasia ya kenya na wao wataanzaje kumsifia Laila au mtaweka wapi nyuso zenu? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tuwapongeze Kenya lakini tuwalaani hawa pia

    Katiba ipi anayoizubfumzia mleta mada? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. T

    JamiiForums Tanzania Usimfanyie ubaya mtu usiyemjua, hujui kesho yako

    Mm huwa naamini katika upendo na utu ukiwa na hivi sheria haina umuhimu Dada ni kweli alikuwa kwenye sheria lkn utu ni muhimu wakati mwingine Ningekuwa mm pigo ambalo ningempa Alivyodai apunguziwe hadi 20000/= ningempa bure na ukweli wake juu Yeye ndo angejitafakari!!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu hichi kipumo Hysterosalpingography

    Nashukuru kwa kiasi Fulani nimeelewa
  13. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu hichi kipumo Hysterosalpingography

    Hili nalo swali !!!
  14. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu hichi kipumo Hysterosalpingography

    Msaada ma @Drs
  15. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu hichi kipumo Hysterosalpingography

    Heshima kwenu wakuu, natumaini kila mmoja wenu ni mzima! Kama Title inavyojieleza naomba kufahamu kuhusu hichi kipimo Maana kuna Dr alinishauri kuwa nimpeleke wife baada kufanya vipimo kadhaa bila mafanikio (kupata mtoto). Sasa kuna mengi nayasikia hasa Ke kupata maumivu makali Lakini Mimi...
Back
Top Bottom