Tumia M-Pesa at your own Risk!

Tumia M-Pesa at your own Risk!

karibia woote hawaelewi wako hapo kwa kazi ipi hawana majibu sahihi kwa wateja wakati mwingine unaweza kufikiri wale walinzi wa makampuni ndo wanapokea hizi simu
Kuna mahali niliwahi kusoma siku za nyuma kuwa wa Tz tuko poor sana kwenye customer care. Nafikiri mwandishi wa ile article kwa kiasi alikuwa sahihi. Niliwahi kuweka salio voda data zilikuwa off cha kushangaza nataka kujiunga na huduma naambiwa salio halitoshi, nilipiga simu customer care. Majibu yao yako hovyo hovyo kichwa chini miguu juu na mbaya zaidi hawana kauli nzuri wamevurugwa sana asee.
 
Hizo ni hasira tu mkuu. Hapana shaka umekua ukitumia huduma ya mpesa kwa muda ss matatizo madogo ya kimtandao ndo yakupe uhakali wa kutoa matamshi hayo? Nonsense!

Ninajua jamaa wana utaratibu na hela yako haipotei. Kumbuka kuna systems na wanadamu na vyote haviko 100% ktk utendaji japo ni jukumu lao kuhakikisha mteja anapata huduma bora. Mfano mm tangu nimejiunga na huduma za vodacom nikiwa chuoni 2004 sijawahi juta nimesgatumia pia tigoline yaani hakuna ambako hakuna changamoto hilo uelewe. Kama haikukupata ww basi mwingine. Na hizo changamoto ndizo zinawafanya wazidi kuboresha huduma.

Hv umewahi kujiuliza mchango wa moesa kwenye uchumi wa nchi? Unajua mpesa inazungusha hela ngapi kwa siku? Unajua kuwa kuna usimamizi mkali toka benki kuu kwenye hizi huduma za kifedha au unadhani ni holela?

Kibinadamu najua uliumia kwa kutopata huduma in real time lkn haifai kutoa matamshi hayo. Mpesa ina zaidi ya watumiaji mil6 Tz. Je ukijisema ww pekeyako unajua ni % ngapi ya watumiaji?
Unaumwa wewe!!
U
 
Kuna wizi mwingine tunaibiwa bila kujua, mathalan ukituma pesa kutoka kwenye akaunt yako ya benki kwenda Mpesa, unaambiwa muamala haukufanikiwa pesa yako imerudi, hapo ni baada ya masaa kadhaa kama sio siku kadhaa. Tatizo wanaporudisha pesa, wanarudisha tu kiasi ulichotuma, ile makato ya gharama za kutuma hawarudishi, ikitokea kwa wateja wengi ni pesa nyingi sana. Hapo sijajua ni benki au kampuni ya simu inanufaika na hizo pesa.
 
wahudumu wanavyokaa costomer care sijui huwa wanawatoa wapi (hasa kwenye hotlines zao). Na sijui huwa utendaji wao unaratibiwa na nani! (Mitandao yote). Imenikuta mara nyingi tu lakini nikwasiliana nao kwa meseji kupitia page yao facebook tatizo linatatuliwa papo hapo.

Hao wenye jukumu la kupokea simu sidhani kama wana ujuzi wowote wa kazi wanayotakiwa kuifanya zaidi ya mtu toto lake limeshindwa shule analipigia pande likae customer care (kazi si kupokea simu tu).

Tatizo wala sio huduma mbovu, wana tatizo la kutoajiri watu wenye WELEDI na undugu kwenye ajira zao unazorotesha mno huduma zao. Wengi wa wahudumu wa wateja wapo lakini hawajui kazi yao au wanatakiwa wafanye nini, nadhani huwa inaagaliwa tu kuwa kapokea simu basi.
 
Mimi Airtel money jamaani sina hamu nao!! voda cjawahi ota kuitumia hata kidogo!
 
Vihiyo vinavyokaa costomer care sijui huwa wanaviokota wapi (hasa kwenye hotlines zao). Na sijui huwa utendaji wao unaratibiwa na nani! (Mitandao yote). Imenikuta mara nyingi tu lakini nikwasiliana nao kwa meseji kupitia page yao facebook tatizo linatatuliwa papo hapo. Hao wenye jukumu la kupokea simu sidhani kama wana ujuzi wowote wa kazi wanayotakiwa kuifanya zaidi ya mtu toto lake limeshindwa shule analipigia pande likae customer care (kazi si kupokea simu tu). Tatizo wala sio huduma mbovu, wana tatizo la kutoajiri watu wenye WELEDI na undugu kwenye ajira zao unazorotesha mno huduma zao. Wengi wa wahudumu wa wateja wapo lakini hawajui kazi yao au wanatakiwa wafanye nini, nadhani huwa inaagaliwa tu kuwa kapokea simu basi.
Yani hawaeleweki kabisa, na mara nyingi huwa wanasema "ndugu mteja naona hunielewi" ukishasikia kauli kama hiyo jua huyo muhudumu hajui anachofanya
 
Jamani pia kuna watu wanaweza kukupigia simu wakakwambia Majina yako na Kiasi ambacho kipo kwenye akaunti yako na kukupa maelekezo uzitume kwenye namba fulani,sasa najiulizaga inakuwaje wajue mpaka kiasi ulichonacho kwenye simu yako!
 
Mimi hapa nasoma tu comments...mpaka hapo yatakaponikuta ndio nijue nikomenti nini, ila kwa kweli mimi mpaka wa leo mbado kupigwa.
 
Unaumwa wewe!!
U
Anashida huyo iweje nitume pesa mahali tena inahitajika haraka then uniweke saa24, bila bila! Na mbona kule kwenye page zao za FB nk wana-respond haraka sana tena wanaomba radhi fasta kuliko wale vihiyo wanaopokea simu call center.
 
Nini masaa 24 mimi niliambiwa ndani ya siku nne tena kuanzia siku nne mpaka na kuendelea halafu ilikuwa hela ya ada! Nilihisi kuchanganyikiwa maana nilikula ada na UE inakaribia kama siku 5 mbele........sema kuna mtu namjua voda ndo nikaongea nae akanisaidia akanitumia hela yangu yote kesho yake!!!
 
Mimi nilihamisha laki toka mpesa kwenda tigopesa ikachukua siku tano. Na nilikuwa napiga customer care nakuta majibu ya automatic nasubiri akipokea staff wao anatoa majibu rahisi kuwa subiri tutarekebisha. Siku nyingine nikatumia mpesa kununua umeme wa LUKU ikachukua siku mbili kupata umeme. KWA KWELI MPESA NI VERY RISKY KUTUMIA KAMA UNA DHARURA
 
Wanaiba pesa za wateja kuzitumia huku wakizungusha na kusubiri mwingine atoe hiyo pesa ili wakurudishie.. huku huyo mwingine watamzungusha kama wewe..

Ni kitu kinashangaza sana. Kama upo Dar nenda makao yao makuu ukapige kelele hadi kieleweke.
Jamaa hawa ni hopeless kabisa , nemeenda pale Makao Makuu Victoria kama saa 7.15 mchana.
Receptonist anasema wameenda kula, waliobaki ni wa IT tu.

Sasa tuone MAAJABU
Nimepata message hii sasa hivi saa 8.04 mchana huu.

Hii ni baada ya kuwapigia simu no 100 mara kadhaa, sasa hivi wamenitumia ujumbe(sionyeshi no za utambulisho

"4JU******* Imethibitishwa, muamalawa kurudisha shughuli 4JU******* umefaulu na pesa kurudishwa mnamo 30/10/17 saa 4.41PM na sh570,000.00 zimeingizwa kwa akauni yako ya M-Pesa Baki yako mpya ya M-Pesa ni 610,000.00"

Please note: time 4.41PM!!!! time ambayo haipo, hivyo si kompyua inayofanya input, ni mtu aliyepanic!
Conclusion: Ni kweli kabisa kuna employees wanachezea accounts za wateja .

VODA M-PESA SI MAHALI SALAMA
 
Nini masaa 24 mimi niliambiwa ndani ya siku nne tena kuanzia siku nne mpaka na kuendelea halafu ilikuwa hela ya ada! Nilihisi kuchanganyikiwa maana nilikula ada na UE inakaribia kama siku 5 mbele........sema kuna mtu namjua voda ndo nikaongea nae akanisaidia akanitumia hela yangu yote kesho yake!!!
ndio tena za kazi
 
Jamaa hawa ni hopeless kabisa , nemeenda pale Makao Makuu Victoria kama saa 7.15 mchana.
Receptonist anasema wameenda kula, waliobaki ni wa IT tu.

Sasa tuone MAAJABU
Nimepata message hii sasa hivi saa 8.04 mchana huu.

Hii ni baada ya kuwapigia simu no 100 mara kadhaa, sasa hivi wamenitumia ujumbe(sionyeshi no za utambulisho

"4JU******* Imethibitishwa, muamalawa kurudisha shughuli 4JU******* umefaulu na pesa kurudishwa mnamo 30/10/17 saa 4.41PM na sh570,000.00 zimeingizwa kwa akauni yako ya M-Pesa Baki yako mpya ya M-Pesa ni 610,000.00"

Please note: time 4.41PM!!!! time ambayo haipo, hivyo si kompyua inayofanya input, ni mtu aliyepanic!
Conclusion: Ni kweli kabisa kuna employees wanachezea accounts za wateja .

VODA M-PESA SI MAHALI SALAMA
hawa ndo walewale wanaotupigia simu kutuibia kwenye mazingira ya kutatanisha
 
Jamaa hawa ni hopeless kabisa , nemeenda pale Makao Makuu Victoria kama saa 7.15 mchana.
Receptonist anasema wameenda kula, waliobaki ni wa IT tu.

Sasa tuone MAAJABU
Nimepata message hii sasa hivi saa 8.04 mchana huu.

Hii ni baada ya kuwapigia simu no 100 mara kadhaa, sasa hivi wamenitumia ujumbe(sionyeshi no za utambulisho

"4JU******* Imethibitishwa, muamalawa kurudisha shughuli 4JU******* umefaulu na pesa kurudishwa mnamo 30/10/17 saa 4.41PM na sh570,000.00 zimeingizwa kwa akauni yako ya M-Pesa Baki yako mpya ya M-Pesa ni 610,000.00"

Please note: time 4.41PM!!!! time ambayo haipo, hivyo si kompyua inayofanya input, ni mtu aliyepanic!
Conclusion: Ni kweli kabisa kuna employees wanachezea accounts za wateja .

VODA M-PESA SI MAHALI SALAMA
Unaonaje hii Kesi ukiniuzia,taja bei..
 
Back
Top Bottom