Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
Wasukuma wingi wetu si kuzaana, nature yetu (asili) ndicho chanzo, zaa tu mapori ya kilimo bado ni mengibora uliopo nao huko nadhan wanakaexposure !dah nadhan tupunguze kuzaana wasukuma jaman !yaan imekuwa toomuch !


