Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,518
- 1,046
TUWAPONGEZE KENYA LAKINI TUWALAANI HAWA PIA
Leo ni Septemba mosi duniani nzima inawapongeza Wakenya kufuatia hukumu ya kihistoria iliyotengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Agosti, 2017.
Wakenya wanahaki ya kushangilia kwa namna nyingi lakini nataka kuwaambua Watanzania ukweli: tuache kuwasikiliza wanafiki na wasaliti, tutafika mbali.
Sote tunakumbuka jinsi magenge ya wanasiasa wetu yalivyoipinga KATIBA inayopendekezwa ambayo kifungu cha 87 kilikuwa kinaruhusu kuhoji Mahakamani matokeo ya Urais.
Tumekataa demokrasia hii katika katiba yetu halafu eti leo tunakenua kuwapongeza Kenya.Unafiki.Basi nimeona tuwakumbuke wanafiki hawa:
1.Mbowe
Alikuwa anaongoza kambi ya upinzani badae ikajiita UPAWA au UKAWA sikumbuki vyema iliyokuwa haijui inasimamia nini wala kwa nini. UPAWA/UKAWA walipinga rasimu ya Katiba isiende kwa wananchi.
2.Tundu Lissu
Huyu aliongoza kuwahadaa wahadaiwa kuwa Katiba inayopendekezwa haina jema.Alitokwa povu kupita huku na kule.Eti leo naye anapongeza uamuzi wa Mahakama ya Kenya[emoji3][emoji3]
3.Wabunge wa Ukawa
Hawa walikuwa kazi yao ni kutosoma wala kufirikiria chochote bali jwenda kula kuku Chako ni Chako huku wakisubiri mwongozo wa Mbowe na Lissu.Wasaliti.
4. Wafuasi wa Ukawa
Kama kawa hawa ni mabingwa wa mapokeo na jamaa mmoja akawaita nyumbu[emoji134]♂[emoji134]♂[emoji134]♂
Ni wafuata upepo tu hawana cha kuhoji wala kufikiri.Wanafiki wakubwa hawa wamekataa demokrasia isishamiri zaidi nyumbani kwa kuipinga Katiba Inayopendekezwa sasa wanashangilia zaidi Kenya♀♀♀
5.WanaCCM
Hawa waliona mazuri yote haya ya Katiba mpya inayopendekezwa ila kosa lao ingawa sio la kinafiki kabisa ila watakumbukwa na historia kwa kushindwa kukaza kuitetea Katiba Inayopendekezwa ili iende kwa wananchi.
Endeleeni kuwaamini wasaliti, endeleeni kushangilia ya Kenya.
Eid Mubarak.
Political Jurist, UDOM
Sent using Jamii Forums mobile app