Recent content by The Throne

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Unampikia unampa mapenzi na huongelei kuhusu ndoa..... Hakuna ulichoacha hapo Ndio maana unaachwa. Jaribu kuwa na malengo na tengeneza misingi imara unapoanzisha mahusino usijirahisishe hivyo. Hayo utafanya ukiolewa. Uzuri wa mwanamke ni tabia si sura wala umbo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya siku hizi havina harufu kabisa

    Vyakula vya asili vinakaribia kupotea. Harufu Ile ya uasilia imebakia kwa kiwango Kidogo sana. Sanasana vijijini ndio unaweza kuisikia, madawa yanaondoa uhalisia wa kitu ikiwemo harufu ukiachilia mbali ladha.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ananipenda lakini hataki kunioa

    Doctor sio Mungu.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

    ENDAPO TU UTAMPATA HUYO MUME
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kupiga picha za utupu imekuwa ni 'fashion'?

    Ukiona mtoto wa jirani anaharibika ukanyamaza haimanishi kuwa umefanya jambo la maana. Wewe km kaka/mlezi timiza wajibu wako kumuonya bila kusahau kumjulisha madhara yake. Wakikusikia haya wasipokusikia pia haya.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ni nani?

    She is very smart, understanding and friendly. I don't know much about her professional life history but her first impression to me was that.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ujenzi bora wa ukuta

    I thought unatueleza kitaalam zaidi kumbe hamna jipya.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    asante sana kwa elimu nzuri mkuu.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nahisi simpendi mke wangu

    Kijana kwanza pole sana,... Wengi wameshauri vizuri kila mmoja kwa jinsi alivyoweza kuyapima maelezo yako. Ni wewe tu na akili yako ufuate lipi uache lipi. Kumbuka mali hutafutwa ila si roho ya binadamu. Jiulize ivi maana ya ndoa ni ipi? Je ni kubembelezana au ni maelewano? pia tafuta jibu la...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    You will loose a lot of money for chasing women but you will never loose women for chasing money.
Back
Top Bottom