Recent content by The Tan-talizer

  1. The Tan-talizer

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu mpya za kuhifadhi pesa za vikundi naona vm-koba kazi inataka kuwashinda

    Hapa unapiga ramli, umeulizwa wana shida gani unaanza kufananaisha DECI, Crypto na M-Koba. Sema umepatwa na changamoto gani kwenye hiyo huduma watu wakuelewe ili kama ni kusaidika usaidike au kama lengo ni kuwasaidia wengine uwe umewasaidia kwa point ABC
  2. The Tan-talizer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi ufunguzi wa jengo jipya la Kanisa la Mwamposa (Arise & Shine)

    Kimya kimya kama hawaelewi vile
  3. The Tan-talizer

    JamiiForums Tanzania Ukitupa kaz tukujengee nyumba hizi ngazi tunakujengea free Zinaitwa floating stairs Zikipigwa finishing hapo utazipenda

    Hofu yangu kubwa ni hao wadudu kufuata joto la taa huko kwenye uvungu
  4. The Tan-talizer

    JamiiForums Tanzania Mafundi pamoja na wauzaji wa Aluminium wa rejareja karibu ujipatie Aluminium pamoja na accesories kwa bei ya kiwandani.

    Sarcasm, niliamua tu kuzingua kufuatisha yawezekana hawatumii namba za mitandao tajwa pia
  5. The Tan-talizer

    JamiiForums Tanzania Mafundi pamoja na wauzaji wa Aluminium wa rejareja karibu ujipatie Aluminium pamoja na accesories kwa bei ya kiwandani.

    Umepiga hiyo ya Yas au Voda. Maana ya chini hapo ya Voda inaita lakini haipokelewi
  6. The Tan-talizer

    JamiiForums Tanzania Mandhari na Bustani Kuzunguka Nyumba Nazo Huandaliwa Ramani Kama Hivi

    Nahisi wewe ndio haujaelewa dhumuni lake. Ungetumia picha halisi kw kazi mlizokwisha kuzifanya ninyi ingekupeni credit na wateja zaidi kuliko hii option ya kuweka picha (plan) mlizo render. Uhalisia huvutia zaidi kuliko hizi za ku sanifu / generate/kufikirika.
  7. The Tan-talizer

    JamiiForums Tanzania Starlink yawasilisha maombi ya leseni kwa TCRA. Je, safari hii watatoboa? Ushindani wa gharama na ubora wa internet utakuwaje?

    Hizi drama zenu ndio maana wao wamejisajili kama Starlink Satellite Tanzania Ltd.
  8. The Tan-talizer

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Tigo, Halotel, Airtel na Voda unajiungaje hizo unlimited za 50k?
  9. The Tan-talizer

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    1-0 Goal by Chris Smalling
  10. The Tan-talizer

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tumebakia sisi tuu.... GGMU
  11. The Tan-talizer

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hongereni dk 53 Arsn 3-0 Hull
  12. The Tan-talizer

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hahahaa duuuh..!! Nina wasi wasi na dunia unayoishi labda ni tofauti na hii niliyopo..!! FA final?? Gunners??😳
  13. The Tan-talizer

    JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Naomba nikutafute pia mkuu
  14. The Tan-talizer

    JamiiForums Tanzania Tusi hili mwanaume yeyote hawezi vumilia

    Tusi kama hili linaweza kutumiwa kwenye situation gani kwa mfano??
  15. The Tan-talizer

    JamiiForums Tanzania Barack Obama azuia sketi ya mkewe (Michelle Obama) kupepea na upepo

    Kazi nzuri... Sio kila mtu aone
Back
Top Bottom