Recent content by the-sniper

  1. the-sniper

    Oil station

    Matumizi ya search engine yananiwezesha kuona GATAN PETROL STATION. Anzia hapo
  2. the-sniper

    Nimenunua decoder used inanisumbua (inapoteza software)

    Mkuu utawapatia shida wataalam kukusaidia. Ungeandika ni decoder ya kampuni gani kwa hapa nyumbani mf dstv,azam,startimes nk,model gani ya decoder husika na mengine useful.
  3. the-sniper

    Tanzania kuna fursa nyingi lakini ukitumia hiyo fursa watu wanakuiga

    Hii itakuwa biashara gani inahusisha mamlaka zote hizo mkuu?
  4. the-sniper

    Mtwara: Jinsi Askari Polisi, akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi, walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

    Tumeshahama kwenye hili tukio na media zinajua wananchi tunataka habari za motomoto sio muendelezo wa habari zilizopita "kiporo". Matukio mapya yanafunika yale ya zamani siku zinasonga. Hapo tusubiri "connection" ambayo itatusahaulisha matukio ya sasa.
  5. the-sniper

    Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

    Cc Resilience
  6. the-sniper

    Riwaya ya Kijasusi Mabaduni wa serikali

    Hivi sasa ni Saa 1545
  7. the-sniper

    Najuta sana

    Umeongea kiume sana na umemaliza yote kwenye hilo. Tukirudi kwa muanzisha uzi, MOSI kama una uhakika huwezi kumudu gharama za kupotezea vitu vyako (vyote au baadhi) badala yake unalazimika kuvifuata basi usitumie njia "rasmi" bali tafuta wenye mamlaka rasmi kwa njia isiyo rasmi uongozane nao...
  8. the-sniper

    Natafuta mtu atakayenipunguzia mzigo wa filamu kwa bei ya jumla

    Movie zote zina ujazo gani? (mb/tb)
  9. the-sniper

    INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

    Brand gani hii tv? Ni Smart tv? LED au LCD?
  10. the-sniper

    Kialama hiki kina maana gani?

    Hiyo ni data saver (tofauti na power saver). Inaonesha umeruhusu udhibiti wa matumizi ya "data" au "MB" kwa lugha rahisi. Nyongeza: Tujifunze kutumia search engines na internet kwa ujumla kwa changamoto ndogo ndogo kama hizi mf: ungeandika tu triangle with arrows on a phone ungepata jibu mkononi...
  11. the-sniper

    Jenerali Mabeyo amuaga Rais Mwinyi. Ajiandaa kustaafu June 2022

    https://www.jamiiforums.com/threads/gen-mboma-ajaribu-kugombea-aangushwa.21662/ Rejea hii thread, yupo mwenzake alishawahi kuingia kwenye kinyang'anyiro. Sijui ulikuwa wapi enzi hizo
  12. the-sniper

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu niwezeshe ya samsung A90 5G
  13. the-sniper

    Biashara ya chupa za plastiki

    Na vipi ikiwa mleta uzi ndio Dj Tee wa huko Twitter ila hapa anatumia ID hii? Vinginevyo mkuu wewe ndio Dj Tee unaona umenyimwa utambuzi
  14. the-sniper

    Bus la Maning nice linanyanyasa abiria

    Na nyie abiria wengine (mleta uzi ukiwa mmoja wao) mlichukua hatua gani kuzuia unyanyasaji huo? Maamuzi ya kuikalia kimya dhuluma ni sehemu ya ushiriki wako. Ni wakati sasa watanzania tusimame na kujitetea/kuteteana, imagine binti mdogo wa shule anapambana na wanaume wanne halafu kuna mwanaume...
Back
Top Bottom