Recent content by The sage

  1. The sage

    Mbowe admits failure to declare assets

    You are illogical, inconsistent na hii inaonesha huna hoja. We unatambua kabisa kuwa huyu ni mheshimiwa kama ulivyo taja hapo awali na chini ya uongozi wake CDM kimekifanya chama cha magamba kipoteze mwelekeo kabisa. Sasa hilo hitimisho lako la kumwita huyu mheshimiwa mhuni halina msingi zaidi...
  2. The sage

    Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

    Dalili za kufa! Kila kitu wanakosea.
  3. The sage

    Chadema mtoto habembelezwi kwa nyimbo mbaya!!

    Nilifikiri una mawazo mapana kidogo lakini kwa hili umejishushia. Kutokuwa na kurushiana risasi haimaanishi kuwa kuna amani. Amani sio tu kuwa hakuna mapigano. Maisha magumu waliyo nayo watanzania wakati rasilmali za nchi zikiishia kwa wezi wachache ni ukosefu mkubwa wa amani ambao vita yake...
  4. The sage

    Viti maalum- CHADEMA

    Hapa zinajibiwa hoja sio upupu! Siku nyingine fikiri kwanza halafu leta hoja.
  5. The sage

    Viti maalum- CHADEMA

    Hapa zinajibiwa hoja sio upupu! Siku nyingine fikiri kwanza halafu leta hoja.
  6. The sage

    Heshima kwenu wakubwa!

    Asante kwa research yako na hasa kwa kunikaribisha hapa jamvini.
  7. The sage

    Heshima kwenu wakubwa!

    Asante mkuu kwa heshima kubwa uliyonipa bila mastahili yangu! A red carpet!!!
  8. The sage

    Kadi feki za CHADEMA zachapishwa na CCM kuwapa raia wazirudishe ktk mikutano yao

    Hii ni JF where we dare to talk openly. Weka chanzo hicho hewani la sivyo tunajenga nyumba bila msingi!
  9. The sage

    Kwa wanaorudisha kadi za CHADEMA na kujiunga na CCM

    Hapa naomba tuwe wakweli. Kwa maneno yao wenyewe viongozi wa juu wa CCM wameshuhudia kuwa chama kimepoteza mvuto kwa watanzania na hasa kwa vijana. Wakati huohuo CHADEMA ni chama kilichojipatia umaarufu mkubwa na kukifunika CCM kwa kila namna, hasa kwa wakati huu. Hivyo mtu anaporudisha kadi...
  10. The sage

    Kikwete Hongera kwa Ujenzi wa barabara! Ongeza zaidi Kasi!

    Hiyo furaha ya rais wako inaonekana kuwa ya gharama kubwa na inapatikana mara chache sana. Na isitoshe furaha hiyo anaipata kutokana na juhudi za waziri anayemwita mbabe!!
  11. The sage

    Tanzania yenye utulivu bila amani miezi 8 baada ya uchaguzi

    Hata huo utulivu haupo. Huwezi kumyima mtu haki yake ukategemea awe mtulivu. Watanzania ni wavumilivu sana. Lakini kila kitu kina mwisho wake. Ipo siku, tena haipo mbali uvumilivu wetu utaisha na hapo itabidi kutumia msemo wa warumi "ukitaka amani, basi andaa vita"
  12. The sage

    Marando: Tunamtaka Rais mahakamani

    Huyu Rais kwa kukaidi kwake, kwangu mimi naona kuna mawili: ama ni dharau kwa mahakama ambacho ni chombo muhimu katika taifa letu au uhuru wa mahakama haupo.
  13. The sage

    Heshima kwenu wakubwa!

    Asante sana mheshimiwa
  14. The sage

    Heshima kwenu wakubwa!

    Asante sana. Mbona unasisitiza uvumilivu?
  15. The sage

    Heshima kwenu wakubwa!

    Asante mkuu.
Back
Top Bottom