Chadema mtoto habembelezwi kwa nyimbo mbaya!!

Hivi unaelewa vizuri ni kitu gani kinafanya nchi ziwe na amani? Kwa mtizamo wako Tanzania kuna amani? Haki ndio msingi mkuu wa amani haki inapotoweka hiyo amani haipo tena

Hizo ni siasa mkuu unless unaishi ughaibuni amani ipo na itaendelea kuwepo Mungu awaangamize wale wenye kuombea mabaya nchi yetu. Kwanini nasema amani ipo? Nimeamka asubuhi nimetoka nyumbani mpaka ofisini sijashuhudia mauaji ya kurushiana risasi njiani wala sijakuta watu wamevamiwa na majeshi wakabakwa "haya yalipata kutokea visiwani" walipokuwa wakihubiri mnayohubiri leo. Lakini sasa hivi watu wamekaa kwa utulivu na amani. Unadhani hao mnaowashabikia kwa kutumia fujo wakiingia madarakani hawataendelea kulipana posho za mamilioni bila kuzikatia kodi? hamjui hizi kodi kwenye mishahara yetu midogo ndio zinazolipia mishahara ya waalimu? halafu utakuta jibaba zima linasimama linasema waalimu wanalipwa kidogo ilhali wanalipana mamilioni hawayalipii kodi ebooo! wanataka serikali ipate wapi pesa wakati wadau wanakwepa kodi?
 
Naomba kuuliza hivi Freeman yuko nje kwa Dhamana Mpya au anaendelea na dhamana ile ile ya kesi ya zamani? waliohudhuria mahakamani nijuzeni kuhusu hili
Mheshimiwa Freeman Mbombwe you huru kwa dhamana ya mtu mwingine ambae ni diwani wa kata ya elerai. He is free mkuu na nampa pole kwa yaliyomkuta kwani kama binaadam huwezi kumwombea mtu mabaya. Na napenda tusiombeane mabaya wala kuiombea nchi yetu mabaya.
 
of the two evils, CDM and CCM; I will always go for the lesser...CCM any day.
I hate CCM so much, but I see nothing, absolutely nothing constructive in CDM. It is just smoke and mirrors coupled with sheer stupidity!
 
Shosi mawazo yako ni mazuri, lakini nchi hii watu wanahasira ya maisha magumu wakati wanawaona viongozi na watoto wao wanatononoka kila siku. Juzi alikuwa hohehahe, akipewa madaraka muda mfupi tu, yeye na familia yake wanakuwa matajiri wakubwa, wakiwaacha wananchi hawana madawati, dawa hospitalini, njaa, hawana ada za shule kwahiyo ni HASIRA.
 
Tupinge njia zilizo sahihi kama ile waliyotumia LHCR kuhusu mgombea binafsi sio kwa kutumia uchochezi na vitisho hapo ndio mnapoharibu kuna kundi kubwa sana halishabikii vyama wanaanza kupata wasiwasi na mienendo yenu wanaowaambia wanawatakia mema.

Kaka Shossi, hilo kundi kubwa umelihesabu lini?? au woga wako wewe ndio unawakilisha watanzania Millioni 40, ukitoa wanachama wa CCM milioni tatu????. Usiwasemee watu wengine, ongea kwa nafsi yako. Mimi siko CDM lakini nayachukia saana yanayofanywa na CCM. Sheria moja inatumika tofauti, ali mradi tu muhusika ni CDM au CCM. Inabidi CCM itafakari saana inayoyatenda sasa dhidi ya mahasimu wao wa kisiasa. Raisi Mubarakah wa Misri hakutarajia kuwa iko siku angekuja kuwa chini ya sheria hizohizo alizozitunga na kuzitumia kuwakandamiza wengine. Amekuwa kwenye power over 30 yrs!!! lakini leo yuko wapi??? Tujifunze kutoka kwa mwalimu mzuri asosema uongo mwalimu "HISTORIA"
 
  • Thanks
Reactions: LAT
M Shossi
Ukikuta mkosaji anatetewa na umma ujue kuwa mifumo ya utawala haisimamii haki. Haki ya mwana CDM na CCM zinakuwaje tofauti?

Haki sawa kwa wote inaweza kuondoa hali hiyo. Mwana CCM anakosea lakini hakamatwi, ni mara ngapi CCM imezidisha muda wa mikutano yao lakini police wanawaangalia tu.
Ukitaka kujua watu wamechoka na mifumo ya utawala wa CCM, anzisha thread ya kura ya maoni wangapi wanamuunga polisi na mahakama katika sakata hili. Wengi hawatawaunga mkono, japo kisheria mahakama na polisi wako sahihi. Unafikiri nini kwanini?
 
Shosi mawazo yako ni mazuri, lakini nchi hii watu wanahasira ya maisha magumu wakati wanawaona viongozi na watoto wao wanatononoka kila siku. Juzi alikuwa hohehahe, akipewa madaraka muda mfupi tu, yeye na familia yake wanakuwa matajiri wakubwa, wakiwaacha wananchi hawana madawati, dawa hospitalini, njaa, hawana ada za shule kwahiyo ni HASIRA.

Tuwabane kwenye katiba mpya yaani tumepata fursa nzuri sana lakini nadhani dhumuni halikuwa kuandikwa katiba mpya cdm pengine wanataka attention na ndio maana hawaishi kihubiri machafuko kwa kutumia maneno ya "Arusha haitakalika" "tutaandamana na kuingia bungeni na kuchukua viti" hii inashusha hadhi ya chama na kuonekana cha wahuni. Chungu dawa ukimeza utapona!
 
of the two evils, CDM and CCM; I will always go for the lesser...CCM any day.
I hate CCM so much, but I see nothing, absolutely nothing constructive in CDM. It is just smoke and mirrors coupled with sheer stupidity!

Inasikitisha sana lakini NDIO UKWELI WENYEWE.
 
Mheshimiwa Freeman Mbombwe you huru kwa dhamana ya mtu mwingine ambae ni diwani wa kata ya elerai. He is free mkuu na nampa pole kwa yaliyomkuta kwani kama binaadam huwezi kumwombea mtu mabaya. Na napenda tusiombeane mabaya wala kuiombea nchi yetu mabaya.

asante kwa maelezo mkuu, hapa nimetambua kua mbowe kaongezewa shtaka la kujibu..

hakuna mtu anayeombea mabaya nchi yetu kaka ila tukiacha ishu ya mbowe kwa jinsi nchi hii inavyoendeshwa ukiniambia liwalo liwe ntasupport kabisa.. hakuna kuheshimiana kabisa hii nchi watu wanatumia utashi wa kisiasa na nguvu za dola kucontain hali halisi iliyopo, na hilo ni jambo la hatari sana, binafsi sikubaliani na alilofanya mbowe hata kama alikua na sababu za msingi kabisa anyway sijui kama alitoa sababu hizo za msingi mahakamani kabla... lakini Kwanini Double standards?
 
Kaka Shossi, hilo kundi kubwa umelihesabu lini?? au woga wako wewe ndio unawakilisha watanzania Millioni 40, ukitoa wanachama wa CCM milioni tatu????. Usiwasemee watu wengine, ongea kwa nafsi yako. Mimi siko CDM lakini nayachukia saana yanayofanywa na CCM. Sheria moja inatumika tofauti, ali mradi tu muhusika ni CDM au CCM. Inabidi CCM itafakari saana inayoyatenda sasa dhidi ya mahasimu wao wa kisiasa. Raisi Mubarakah wa Misri hakutarajia kuwa iko siku angekuja kuwa chini ya sheria hizohizo alizozitunga na kuzitumia kuwakandamiza wengine. Amekuwa kwenye power over 30 yrs!!! lakini leo yuko wapi??? Tujifunze kutoka kwa mwalimu mzuri asosema uongo mwalimu "HISTORIA"

Una maana CCM wana washabiki/wanachama mil tatu pengine CUF/NCCR na vinginevyo wana mil 1.5 na inayobakia ni CDM?

Hakuna asiechukia mkuu huwezi kufurahishwa na kila kitu hata kama anatawala malaika! sisi binaadam haturidhiki kuna kisa cha wana waisraeli/bani israil walipovuka bahari ya sham baada ya Mussa kupiga ile fimbo na bahari kuachia uwazi wapite "passover" walikuwa wakisafiri kwa miaka 40 na walikuwa wakishushiwa chakula kutoka mbinguni/peponi lakini walikufuru na kusema tumechoka na chakula cha peponi na ndio walipo anza kulima ili kukidhi mahitaji yao ya chakula.

Kwahiyo fursa tuliyo nayo kama wazalendo ni kutumia mchakato wa katiba mpya kuweza kuhakikisha hata Rais anashitakiwa ikiwa pamoja na kupunguziwa madaraka na mengineyo mengi yanayowakera wananchi!

Haupo mbali sana na mimi sote tupo pamoja ila ni kujiweka wazi zaidi katika maoni yetu. Nina uhakika ipo siku watu watajua mtoto habembelezwi kwa nyimbo mbaya lakini itakuwa tuuu leiti
 
asante kwa maelezo mkuu, hapa nimetambua kua mbowe kaongezewa shtaka la kujibu..

hakuna mtu anayeombea mabaya nchi yetu kaka ila tukiacha ishu ya mbowe kwa jinsi nchi hii inavyoendeshwa ukiniambia liwalo liwe ntasupport kabisa.. hakuna kuheshimiana kabisa hii nchi watu wanatumia utashi wa kisiasa na nguvu za dola kucontain hali halisi iliyopo, na hilo ni jambo la hatari sana, binafsi sikubaliani na alilofanya mbowe hata kama alikua na sababu za msingi kabisa anyway sijui kama alitoa sababu hizo za msingi mahakamani kabla... lakini Kwanini Double standards?

Mkuu Samora,

Kwenye ile kesi hayumo Mbowe peke yake kuna gf wa slaa na mhe g lema (mb) wao pia hawakuhudhuria mahakamani lakini kuna maelezo yalitolewa kuhusu sababu zilizowafanya wasiweze kufika kwenye shauri kwa hili la mbowe sina uhakika kama alitoa taarifa kwenye session ya kesi au aliitoa kama press release.
 
Ana mawazo ya ajabu kiasi huyu jamaa . Anyway ni haki yake ya kusema lolote lakini naona haki hii anayo zaidi kwa maovu dhidi ya wananchi wa Nchi hii .
 
Nadhani hujui sheria sisi wanasheria tunazijua sheria kw hiyo usikurupuke na kuandika kitu usichokijua,sheria zipo wazi za wabunge,mabarozi,na rais,serikali ya ccm hamna jipya mmekazania kugandamiza watu,ANGUKO LENU TAYARI WATU WA MAGAMBA
 
Nadhani unastahili kupongezwa kwa constructive idea ambayo hiki kizazi cha vodafasta hakiwezi kukuelewa.Kila dhama zinamchepuko wake hivyo hizi purukushani zilizopo ni njia tu.Siasa si kwa vijana tu bali ni kina mama,wazee,watu wazima(umri wa kati) pia.Wafuasi wengi wa CDM ata ukiwatizama katika picha ni watu waliokata tamaa kimavazi,kiafya na kifikra pia.Tazama picha ulizoletewa leo toka arusha hawa ndio vijana wa kutuletea ukombozi kama wanavyodai?.

Jiulize mtu aliyekatika shughuli yake hawezi kuacha ama kumuaga mwajiri wake kuwa anakwenda kupigania haki ya mkosefu mahakamani.Hili ni kundi linalodhani CDM ikiingia madarakani ajira nje,chakula bure na mshahara utalipwa hata pasipo kufanya kazi.Nasikitika kwa sababu wengi wao hawatapata hicho wanachokitarajia hata kama CDM itachukua nchi na badala yake kuamia chama kingine huku wakizua machafuko (kenya baada ya KANU).Tuwajenge vijana wetu jinsi ya kukabiliana na maisha pamoja na kushiriki katika shughuli za kiuchumi kwani kwa mihemuko hii bila shughuli yeyote ndani ya miaka mitano watakuwa wamezeeka kimaisha na wengine jela kwa kudokoa vya watu.

Haya Mbowe anaelekea kwake kura kuku na mazagazaga kibao kurudisha afya,wewe kwa kuwa huna chochote wala hukujishughulisha na chochote leo kisa ulikuwa mahakamani hata kipande cha mhogo pale kona huwezi kununua. Inasikitisha sana.
 
Hizo ni siasa mkuu unless unaishi ughaibuni amani ipo na itaendelea kuwepo Mungu awaangamize wale wenye kuombea mabaya nchi yetu. Kwanini nasema amani ipo? Nimeamka asubuhi nimetoka nyumbani mpaka ofisini sijashuhudia mauaji ya kurushiana risasi njiani wala sijakuta watu wamevamiwa na majeshi wakabakwa "haya yalipata kutokea visiwani" walipokuwa wakihubiri mnayohubiri leo. Lakini sasa hivi watu wamekaa kwa utulivu na amani. Unadhani hao mnaowashabikia kwa kutumia fujo wakiingia madarakani hawataendelea kulipana posho za mamilioni bila kuzikatia kodi? hamjui hizi kodi kwenye mishahara yetu midogo ndio zinazolipia mishahara ya waalimu? halafu utakuta jibaba zima linasimama linasema waalimu wanalipwa kidogo ilhali wanalipana mamilioni hawayalipii kodi ebooo! wanataka serikali ipate wapi pesa wakati wadau wanakwepa kodi?
Nilifikiri una mawazo mapana kidogo lakini kwa hili umejishushia. Kutokuwa na kurushiana risasi haimaanishi kuwa kuna amani. Amani sio tu kuwa hakuna mapigano. Maisha magumu waliyo nayo watanzania wakati rasilmali za nchi zikiishia kwa wezi wachache ni ukosefu mkubwa wa amani ambao vita yake ikiibuka itakuwa kubwa kuliko hiyo ya kurushiana risasi. Please prove yourself to be a great thinker!
 
Hizo ni siasa mkuu unless unaishi ughaibuni amani ipo na itaendelea kuwepo Mungu awaangamize wale wenye kuombea mabaya nchi yetu. Kwanini nasema amani ipo? Nimeamka asubuhi nimetoka nyumbani mpaka ofisini sijashuhudia mauaji ya kurushiana risasi njiani wala sijakuta watu wamevamiwa na majeshi wakabakwa "haya yalipata kutokea visiwani" walipokuwa wakihubiri mnayohubiri leo. Lakini sasa hivi watu wamekaa kwa utulivu na amani. Unadhani hao mnaowashabikia kwa kutumia fujo wakiingia madarakani hawataendelea kulipana posho za mamilioni bila kuzikatia kodi? hamjui hizi kodi kwenye mishahara yetu midogo ndio zinazolipia mishahara ya waalimu? halafu utakuta jibaba zima linasimama linasema waalimu wanalipwa kidogo ilhali wanalipana mamilioni hawayalipii kodi ebooo! wanataka serikali ipate wapi pesa wakati wadau wanakwepa kodi?

Sasa nimegundua tatizo liko wapi, M shossi nimeisoma vizuri thread yako nimekupata unachotaka kumaanisha. Kwa ufupi nadhani mimi na wewe inatakiwa tutafute njia nzuri zaidi ya kutatua matatizo yaliyo katika nchi yetu, ila umekosea namna unavyotaka kuitafsiri "amani" Unapotaka watu tuamini kwamba amani ya nchi inaaminisha kutokuwa na vita tu, hapo unakosea. Hivi unataka uniambie kwamba kutokana na kwamba Tanzania hamna vita basi Watanzania hatuna cha kupinga? hatutakiwi kuandamana?
 
Hiyo attachement yako inahusiana nini na mada? jaribu kuficha upumbavu wako uonyeshe busara japo kidogo au wewe ndio wale mnaoishi nje na hamjali hata kukitokea machafuko?

UMEELIMIKA SANA-NAJIVUNIA UWEPO WAKO-MOST ya watu JF ni wameelemewa na ushabiki usio na maana/ udini sana endelea kuwaelimisha-wanaumia sana kuona watu wenye akili wanafikiria mambo ya maana wakati wao wakifundishana ujinga
 
Back
Top Bottom