Viti maalum- CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viti maalum- CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lepanetta, Jun 4, 2011.

 1. l

  lepanetta Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hii ni haki? CHADEMA ina kiti zaidi ya kimoja katika mkoa wa Shinyanga lakini haina mbunge wa viti maalum kutoka katika mkoa huo ilhali Mkoa wa Singida una Mbunge wa viti maalum wakati ina mbunge mmoja tu wa jimbo tena mbunge huyo ni kaka wa mbunge wa viti maalum> Nisaidieni hili!
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Next time gombea viti maalum
   
 3. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  CHAMA CDM kilipata kula nyingi za urais mkoa wa shinyanga pia wapo wabunge kutoka mkoa huo
   
 4. Bob

  Bob JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2011
  Joined: Sep 10, 2007
  Messages: 277
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Rudi!
  Kamwambie aliyekutuma "wamekataa kunifungulia"
  Labda anaweza kukutuma jingine.
  Usife moyo, Mdanganyika wewe!
  Kumbuka usemi usemao: "Mwenda bure, sio mkaa bure, huenda ........"
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,937
  Trophy Points: 280
  ambaye hatacheka hapa ujue ana matatizo.inabidi jamaa apewe website ya chadema apeleke maombi
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,937
  Trophy Points: 280
  sitting alowanzzzzz ndio unazimezea mate?
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  huyu tena
   
 8. l

  lepanetta Member

  #8
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu wa Chama cha domokrasia na Maendenyuma aka Chama cha Mazishi jaribuni kujibu hoja acheni jazba na hasira!
   
 9. The sage

  The sage Member

  #9
  Jun 4, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa zinajibiwa hoja sio upupu! Siku nyingine fikiri kwanza halafu leta hoja.
   
 10. The sage

  The sage Member

  #10
  Jun 4, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa zinajibiwa hoja sio upupu! Siku nyingine fikiri kwanza halafu leta hoja.
   
 11. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi hujarudi tu Mirembe hospital toka utoroke? Mura ujue sasa tutakupigkha!!
   
 12. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Haya ndio matokeo ya PUI (Posting Under Influence ). Unatumia kilevi gani?
   
 13. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Rev, hakyianani ulasekya na bafile!! (utachekesha na walokufa)
   
 14. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hii topic ilishajadiliwa hapa.
   
 15. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hana jipya huyu jamaa labda anatafuta jukwaa lakutokea nyuzi kama hizi si zakuchangia chochote never argue with a fool.
   
 16. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hana jipya huyu jamaa labda anatafuta jukwaa lakutokea nyuzi kama hizi si zakuchangia chochote never argue with a fool. Maana mwehu hukufanya uonejane mwendawazimu.
   
 17. Josephine

  Josephine Verified User

  #17
  Jun 4, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tabia za watu wenye symptoms au element za ki CCM utazijua tu.

  1.wanapenda kuongea maneno bila kupima wanachoongea.
  2.Wavivu wa kusoma na kufanya utafiti wa mambo.
  3.wepesi wa kutoa taarifa ambazo hazina uhalali.

  sasa hapa ulitaka ajibiwe nini?maana taarifa yake haina ukweli inaonyesha hakuifanyia utafiti.

  Naomba nimpe homework Atafute Mbunge wa chadema anayeitwa Recho Mashishanga ametokea wapi?Na maombi yake yamepitia wapi?
  halafu tutamjibu vema.
   
 18. A

  Alakara Armamasitai Verified User

  #18
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  josephine nimeipenda ujumbe wako hongera aliyekuja na hii hoja anaonesha ni jinsi gani alivyokurupuka ila nashukuru umemjibu vizuri thanx i appreciate
   
 19. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  we mchunga mbuzi uwezo wako wa kumsaidia mtu ivi upo chini kiasi hichi! Nakushauri post zingine kama mtu kaomba kuelimishwa na wewe elimu hiyo hauna uwe unakaa kimya.
   
 20. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wana Jf mada iliyopo sasa sio viti maalumu mada kuhusu kuhojiwa mapacha watatu na pius msekwa..mafisadi wanahojiwa na fisadi
   
Loading...