Kadi feki za CHADEMA zachapishwa na CCM kuwapa raia wazirudishe ktk mikutano yao

makaptula

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
200
66
Habari za kuaminika kutoka katika chanzo kimoja ambacho kwa sasa nisingependa kukitaja.
CCM wameanza mchezo mchafu wa kuchapisha kadi feki za CDM na kuwapa baazi ya wanachama wa CCM kwa masharti yakuzirudisha wafanyapo mikutano yao kwa nia na mazumuni ya kupotosha Umma wa watanzania kwamba CDM haikubaliki kitu ambacho si sahihi.
 
wameshafanya ujinga mara nyingi wameishia kuumbuka, waacheni na upumbavu wao, nape anazidi kujipalia mkaa magamba yamegoma kuvuka sasa ngoma inakuja kwake, balaa analo
 
Makaptula! Hao wanacheza tu na karibia wanaishiwa hata na mbinu,CDM watatwanga popoteeee mpk kielewekeeeeee¡¡¡¡
 
Ukishaona chama tawala na kikubwa kama CCM kinaonyesha picha za watu wakirudisha kadi zao za uanachama wa vya upinzani, then jua CCM iko kwenye hali mbaya. Sioni umuhimu wowote wa CCM kujivunia watu kurudisha kadi whether ni kweli or not. Kwa chama kama CCM sidhani tactics kama hizo zinawafaa. Inaonyesha kutojiamni. Badala ya hawa vijana ku-adopt modern ways za kukirudisha vyama kwenye mstari, wanatumia exactly the same old methods zilizokuwa zinatumiwa na akina Makamba. In fact, kwa style hii they are going even backward ikizingatiwa kuwa Watanzania siku wana uelewa mkubwa zaidi wa kichachoendelea kwenye siasa. Kuna watu walikuwa na matumaini wakati Nape and Cos walipopewa madaraka. Lakini kwa style hii, they must be thinking twice.
 
Problem kubwa waliyonayo akina Nape na viongozi wengi wa CCM ni kwamba wao wanajali zaidi photo Op's na populism kuliko substance. Hii ndiyo inayowatafuna na itaendelea kuwatafuna. Just wait and see wakimaliza hizo ziara zao.
 
Aisee kadi mpya kabisa hivi
 
Attachments

  • nape.jpg
    nape.jpg
    33.1 KB · Views: 154
Habari za kuaminika kutoka katika chanzo kimoja ambacho kwa sasa nisingependa kukitaja.
CCM wameanza mchezo mchafu wa kuchapisha kadi feki za CDM na kuwapa baazi ya wanachama wa CCM kwa masharti yakuzirudisha wafanyapo mikutano yao kwa nia na mazumuni ya kupotosha Umma wa watanzania kwamba CDM haikubaliki kitu ambacho si sahihi.

Na wao wakisema zile za ccm zinazorudisha zilikua feki tutapatawapi ukweli ikiwa vyanzo vya habari havitajwi.
 
Habari za kuaminika kutoka katika chanzo kimoja ambacho kwa sasa nisingependa kukitaja.
CCM wameanza mchezo mchafu wa kuchapisha kadi feki za CDM na kuwapa baazi ya wanachama wa CCM kwa masharti yakuzirudisha wafanyapo mikutano yao kwa nia na mazumuni ya kupotosha Umma wa watanzania kwamba CDM haikubaliki kitu ambacho si sahihi.

Hii ni JF where we dare to talk openly. Weka chanzo hicho hewani la sivyo tunajenga nyumba bila msingi!
 
wanamdanganya kikwete kama mzee keneth kaunda alivyokuwa anadanganywa na wapambe wake, ulipofika uchaguzi chaliiiiiiiiiiiiiii......... hawa hawa hawa wakina Nape watakimbia baada ya uchaguzi na wakiulizwa wako wapi wale wanachama wa chadema waliorudisha kadi? hawatakuwa na majibu. wanajiandalia kifo.
 
Mimi sidhani kama kurudisha kadi kwa wanachama wa upinzani kutabadili ukweli kuwa chama kimechoka na kinahitaji marekebisho makubwa. Kelele za majukwaani hazikisaidii chama bali zinazidi kukibomoa, Nape na wenzake inabidi waje na mbinu nyingine ili kurudisha imani ya wananchi kwa chama kama inawezekana!
 
Ni kweli.JF ni ukumbi wa uwazi lakini kuna mazingira yanayosabisha mtu kuwa anonymous kwa usalama wake.NDIYO MAANA MWANDISHI INABIDI WAKATI MWINGINE AFUNGWE KWA KUMLINDA SOURCE WAKE.
 
Hivi ni CDM pekee wanao hama kurudi ccm, mbona hatusikii wanachama wa vyama vingine wakifanya hivyo.
Hii inaonyesha mbabe wa ccm sasa ni CDM na ni tishio ndio maana mbinu hizi za kitoto za kujaribu kuudanya umma wa watanzania.
Ila nimekumbuka vyama vingine vilishajiunga na ccm muda kitambo.
 
wapuuzi hao.. mfa maji haishi kutapa tapa, watengeneze mpajka magwanda na benderaza cdm wagawe kwa mapimbi wao...
 
There are currently 34 users browsing this thread. (15 members and 19 guests)
Paddy Miss Judith Domo Zege Nyambala Bobuk J shemndolwa sirng'udi lasix REBEL bluhende Gobret Nnauye Jr DOGLAS MUSSA The sage

Silence means YES!!!!!!!!!
 
Mzalau mwiba guu huota tende!

Ninakumbukuka tactic similar with this one iliwahi ku-work wakati akina Nape wanaanzisha CCJ. Makomandoo wa CCM walimvamia katibu wa CCJ pale Kariakoo na kumunyang'anya kadi za CCJ, yeye akazalau kitendo hicho matokeo yake guu likaota tende!

CCM walichukua hizo kadi za CCJ na kwenda kuwagawia wanachama fake! You know what happened? John Tendwa alipokwenda kufanya uhakiki wa wanachama wa CCJ tena hapo DSM. Hao wanachama fake wa CCJ siku hiyo hawakutokea. The rest is history.

Kwahiyo Nape anaufahamu huo mchezo mchafu waliomuchezea CCM wakati anataka kuanzisha CCJ. Hivyo amefanya COPY and PASTE akifikiri kwamba hata kwa CDM huo umafia uta-work. Ngoja tusubiri tuone mwisho wake nini?
 
Tulianza kuona kitambo huu urudishwaji wa kadi, lkn uchaguzi ndio unaamua chama gani kinapendwa kwa hivi sasa. Mi ningemshauri Nape watafute mbinu za kuchakachua wakati wa uchaguzi maana kama kurudisha kadi ni toka kipindi cha Mrema alipokuwa maarafu kadi zilirusidhwa, tumeona uchaguzi 2010 CCM ilivyogaragazwa na kama sio TISS wangekuwa benchi sasa hivi.
 
Mbwa mzee anapotumia mbinu zile zile za zamani inakua kichekesho sana pale mbwa vijana wanapoona. Tatizo ni nini hasa? Gamba limeongeza uzito au?
Nadhani hata hilo gamba sidhani kama limevulika. Bora waliache libakie humo humo sababu washachelewa sana. Wasubiri mda wa Pilato 2015
 
There are currently 34 users browsing this thread. (15 members and 19 guests)
Paddy Miss Judith Domo Zege Nyambala Bobuk J shemndolwa sirng'udi lasix REBEL bluhende Gobret Nnauye Jr DOGLAS MUSSA The sage

Silence means YES!!!!!!!!!
Alivyokosa hekima sasa hivi atabandika upupu wake...we subiri uone
 
Haita wasaidia tunahitaji maendeleo na kutimizwa kwa hadi zao walizo tupa,hali ngumu ya maisha,usafiri mgumu dar,bei za vyakula juu,umeme haueleweki,barabara hazikamiliki kwa wakati na hazina ubora,mazao ya wakulima bei iko chini mbolea juu,mikopo kwa wanafunzi ni taabu,kwa nini wasihangaike na haya badala ya kupokea kadi feki za chadema?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom