Recent content by The river between

  1. The river between

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MJI WA KAHAMA NA VURUGU ZA MIGAMBO

    Tar..21/2/2016 kutakuwa na kamatakamata kwa wafanya biashara wadogowadogo ambao wataonekana kufanya biashara maeneo yasiyoruhusiwa.....kwahiyo me natoa rai kwa serkali kutotumia nguvu nyingi kwenye zoezi hilo.
  2. The river between

    JamiiForums Tanzania Mlioko mabondeni sasa kiama kimewakuta

    Ikiwa mvua zinanyesha mfululizo nchi nzima,watu walioko mabombeni wameanza kuhaha,baada ya nyumba zao kujaa maji....poleni mlioko mabondeni.
  3. The river between

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Tanzania kukosa ubalozi nchini Israel

    Aibu ipi sasa kama israel ilikuwa ikiendesha misingi na kutekeleza sera ya ubaguzi wa rangi....ndio maana Tanzania iliitenga Israel
  4. The river between

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TCRA yavifungia Vituo vya Redio na TV vikiwemo Star TV, Uhuru FM, RFA...

    hapo ndio utamtambua John Joseph Pombe Magufuli.....kwamba yuko kazini hatanii....mazoea zoea ya watu kuvunja utaratibu iwo mwisho.
  5. The river between

    JamiiForums Tanzania Nape amjibu Lissu: Kama CHADEMA mnachukia ufisadi, mfukuzeni Lowassa

    Wamfukuze Lowassa hata me naunga hoja ya Nape
  6. The river between

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Ndalichako aibana NECTA kuhusu matumizi ya GPA

    Na yeye yuko wrong...kwani mfumo huu unasaidia udahili.
  7. The river between

    JamiiForums Tanzania UVCCM Zanzibar: Abeid Karume afukuzwe CCM

    if it is true.....wamfukuze
  8. The river between

    JamiiForums Tanzania Hivi bomoabomoa imesitishwa?

    Jamani huku kwetu matumbo joto, kwani nyumba yangu iko bondeni miaka mingi nimeambiwa nitoke, ila viongozi wa Chama fulani wameniambia nisiondoke nitulie.... Sasa naombeni ushauri wenu hivi bomoabomoa imesitishwa?
  9. The river between

    JamiiForums Tanzania Kubomoa nyumba 20,000 kwa mkupuo, huyu kweli sio mwanasiasa

    wananchi na viongozi walizoea ujanja ujanja.....acha atunyooshe.
  10. The river between

    JamiiForums Tanzania Issue ya kupunguza ada kwa shule binafsi (private schools) ni ya kweli?

    Jamani kuuliza si ujinga,naombeni tufahamishane kuhusu Karo kwa Shule binafsi,ni kweli zimepunguzwa na serkali?au habari za mtaani tu?naombeni majibu wanajamvi.
  11. The river between

    JamiiForums Tanzania Bandarini si wizi bali kufuru: Meli nzima 'yaibiwa'

    Duh hiyo ni kali
  12. The river between

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Magufuli inatia shaka

    huna sera wewe...bungeni kufanya nini....hiyo ni ILANI YA CCM
  13. The river between

    JamiiForums Tanzania CLUB YA ZAMALEKI YAMTAKA MAGULI WASTAND UNITED

    Soka la tanzania sasa laanza kuthamini baada ya mbwana Sammatta kuwafungulia njia
  14. The river between

    JamiiForums Tanzania Ziara ya kwanza ya Rais Magufuli nje ya nchi yaweza kuwa hapa...

    Yaani wewe unajigeuza kuwa mpiga ramri.....oh mara raisi aende kujifunza,ina maana tutakuwa na maraisi wakujifunza tu?acha mawazo ya awamu ya nne wewe!!!!!!!!John hana tabia hizo.
  15. The river between

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KIMASOMO

    Msaada wa kimasomo;alama zifuatazo ktk mtihani wa kidato cha nne 2003 naruhusiwa kujiunga na chuo cha uongozi wa mahakama Lushoto?Civics..C,History..C,Geography..D,Kiswahili..D,English language..D,Math F,Bios F.naombeni majibu
Back
Top Bottom