The river between
Member
- Dec 31, 2015
- 16
- 0
Ikiwa mvua zinanyesha mfululizo nchi nzima,watu walioko mabombeni wameanza kuhaha,baada ya nyumba zao kujaa maji....poleni mlioko mabondeni.
Huyu si wakufokewa tu bali kuchapwa bakora, yeye anafikiri mafuriko yataishia kwenye nyumba za watu mabondeni tu, bila kujua mafuriko yanaharibu mazao mashambani na kuhatarisha usalama wa chakula nchini. Huyu ni wakuchapa bakora tu.Ngoja nikae hapa nisikilize wanavyomfokea huyu jamaa mwenye tetesi
Mkuu msimchape bakora, ni member bado hana muda mrefu hata mwezi hajamaliza, huyu mkuu ni wa kumkemea tu inatoshaHuyu si wakufokewa tu bali kuchapwa bakora, yeye anafikiri mafuriko yataishia kwenye nyumba za watu mabondeni tu, bila kujua mafuriko yanaharibu mazao mashambani na kuhatarisha usalama wa chakula nchini. Huyu ni wakuchapa bakora tu.
Ikiwa mvua zinanyesha mfululizo nchi nzima,watu walioko mabombeni wameanza kuhaha,baada ya nyumba zao kujaa maji....poleni mlioko mabondeni.