Issue ya kupunguza ada kwa shule binafsi (private schools) ni ya kweli?

Dec 31, 2015
16
0
Jamani kuuliza si ujinga,naombeni tufahamishane kuhusu Karo kwa Shule binafsi,ni kweli zimepunguzwa na serkali?au habari za mtaani tu?naombeni majibu wanajamvi.
 
Back
Top Bottom