Hivi bomoabomoa imesitishwa?

Dec 31, 2015
16
0
Jamani huku kwetu matumbo joto, kwani nyumba yangu iko bondeni miaka mingi nimeambiwa nitoke, ila viongozi wa Chama fulani wameniambia nisiondoke nitulie....

Sasa naombeni ushauri wenu hivi bomoabomoa imesitishwa?
 
Imesitishwa kwa muda
 
Hama ukiweza kwakuwa hata ikisitishwa sasa kuna siku itarejea tuu
 
Back
Top Bottom