ABU BAKR 'S DEATH IS GOOD AWAITED NEWS FOR MANY PEACE LOVERS ACROSS THE GLOBE
The announcement of the death of the ISIS terrorist leader following a US Special Forces operation is of course a breath of fresh air to all those who have suffered the ills of terrorism.
Those ills have primarily...
Mfumo wa mtu kuandaliwa hadi aiitwe Askofu ndio uliotengeneza tatizo na ilianza jimboni walipoleta dhana ya demokrasia kanisani!
Kwamba majina yapendekezwe na kila usharika, kisha yachujwe na kamati, kisha yapelekwe jimboni na kuchujwa tena, kisha yarejeshwe katika dayosisi na yapigiwe kura na...
Sio Kweli, naomba mwe na taarifa sahihi kwanza kabla ya kuzileta maeneo kama haya!
Hayo ni maelezo ya Askofu Mkuu ambaye pia amevunja katiba wazi kabisa!
Kwanza alitakiwa apokee mashitaka kutoka kwa standing committee, au au wajumbe 5 wa chapters ama synod ya kanisa la Dar na sio kwa wakristo...
Tunafika mbali, yeye kwa sasa anatakiwa kuheshumu watu, kama Lowasa ana tuhuma na yeye anazo so wote ni watuhumiwa, kwa sasa uchaguzi umeisha na ni waziri basi aache kabisa siasa za kulengana tena akomae kidogo na kufanya siasa za hoja! Hata hivyo inaonekana ana ugomvi binafsi na Lowassa lakini...
Kutukana sio njia sahihi lakini kwa Nape nilishaacha kumsikiliza zamani maana ukimsikiliza kwa mda wote ni kama ana ugomvi binafsi na Lowassa!! Zote hizo ni tuhuma kama yeye alivyo na tuhuma ya kutoa rushwa wakati wa kugombea ubunge!!!! Tuhuma haimpi mtu jina hadi ithibitishwe!!!! Nape hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.