cai
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,351
- 1,326
Kusema lile la ukweli, wakristo walikuwepo lakini kwa uchache sana hii kutokana na kuwa harakati hizi zilifanyika zaidi maeneo ya pwani ambayo kwa asilimia kubwa ilikuwa inakaliwa na waislamu, labda harakati zingeendeshwa maeneo ya bara kunakokaliwa na wakristo wengi historian ingekuwa tafautiKwa hiyo Wakristo hawakupigania Uhuru wa Tanganyika?