Recent content by the potter

  1. the potter

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Mtanzania afariki kwa kuchomwa sindano ya sumu kwa hiari

    Ivi hii sio dhambi!?! Sio sawa na kujiua!?! Dini zetu zasemaje!?
  2. the potter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna anguko la vijana wa kiume kwenye mahusiano? Wanakosea wapi?

    The ANSWER is only One. Kwasababu ya MALEZI MABOVU. Na tunapokwenda ndio wataanguka zaidi na kuishia kuolewa na dada zetu.. Ni wazazi wachache sana wanawalea watoto wao kuwa baba baadae, ni wazazi wachache sana wanawalea watoto wao kuwa mama baadae.. Wanaharakati wanajitahidi kwa namna yoyote...
  3. the potter

    JamiiForums Tanzania Wasanii walia malipo mapya Basata

    Kwani malengo ni kuwasaidia wasanii?!?! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. the potter

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Rais Magufuli anatumia misingi mibovu iliyoachwa na Rais Mkapa

    Kwa mtazamo wangu ni kama wote mnazungumza kitu kimoja.. nadhani hiyo pia haikuwa hija ya masingi.. "hoja ya msingi ilikuwa nu uadilifu aliouona Mwl. Nyerere kwa BM na baadae kuja kumkosoa lakini pia misingi iliyoacha na BM" haya na kuongea na wageni au kutoa siri za ndani nadhani sionya msingi...
  5. the potter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

    Sio wa Africa ni wanaume wote duniani Hata wazungu na waarabu pia.. Sent from my HTC One max using JamiiForums mobile app
  6. the potter

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Hahahahaaaaaaa kwani wapo humu hao maofisa wenu?!?!!
  7. the potter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hehehe kwa style hii hawa magavana wetu sioni tukienda mbali

    Mnashangaa nini wakati nao ni wanaume rijali...
  8. the potter

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Diamond kumjengea bonge la jumba na kumpa baadhi ya mali zake baba yake wa kambo

    Zawadi ya kumkaza kamba vizuri...
  9. the potter

    JamiiForums Tanzania DAR: Mbunge wa Mikumi Joseph Haule (Proffesor Jay) CHADEMA,avunjiwa nyumba yake

    Mtakufa maskini.. kwa utaratibu huu!!! kwa akili hizi.. Mwenzako anafukuzwa kazi unafurahia utafikiria mshahara wake unaingia kwako... !!!! Nenda kimara ukaone...
  10. the potter

    JamiiForums Tanzania Rais hana hotuba mpya, zote zilipendwa!

    Haha[emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. the potter

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, CDF mpelekeni Tundu Lissu mahakama ya kijeshi - court Marshall

    Kwani kushutumu ni makosa???
  12. the potter

    JamiiForums Tanzania Mtu apimwe kwa utendaji siyo makaratasi

    Hizi akili sijui mnazitoaga wapi... In ushabiki au Mapenzi kwa mtuhumiwa???!? Mbona haya hatukuyasikia wakati wa uhakiki na hao waliofukuzwa walikuwa wanafanya kazi!?!? Mtu atapimwaje utendaji na utendaji bila elimu na CV!?!? Ivi tunaelekea wapi jamani!?!?! TUACHE USHABIKI WA KIJINGA....
  13. the potter

    JamiiForums Tanzania Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

    hahahaha ivi bado mnaotaa kiasi hiki...
Back
Top Bottom