Ngoja wapeleke Pesa tununue Driemler nyingine..Hii ichi itajengwa na sisi wenyeweAda hiyo ni kodi haramu ya kificho bayana kwa.kampuni inayotaka kumtumia msanii kutangaza bidhaa zake.
2. Wasanii chipukizi watakufa kabisa
3. Huu ni ulanguzi kwa upande wa basata.
Kama Basata hawawezi kujiendesha kwa bajeti ya serikali, baraza lifutwe, kwani Basata inawasaidia kitu gani wasanii zaidi ya kuwavizia kuwafungia kazi zao?!
Waache walie wameyataka wenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kodi iwe 50 millioni, si walizunguka nchi nzima, kaza buti wafe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja wapeleke Pesa tununue Driemler nyingine..Hii ichi itajengwa na sisi wenyewe
Watu mna kumbukumbu, great!
Kwani malengo ni kuwasaidia wasanii?!?!Kwani basata ilishawahi kuwa na historia ya kumsaidia msanii, tangu ianzishwe
[emoji817]Ada hiyo ni kodi haramu ya kificho bayana kwa.kampuni inayotaka kumtumia msanii kutangaza bidhaa zake.