Tetesi: Diamond kumjengea bonge la jumba na kumpa baadhi ya mali zake baba yake wa kambo

Naona mnajaribu kumrudisha kwenye chart diamond?

Nilishasema, mond bila kick atapotea kama moto wa majivu japo napenda kusikiliza muziki wake
 
mmmmmh huu uzi umejaa jinsia tofauti kuliko nyuzi nilizo pitia siku ya leo... hakika ina bidi uwe kumbu kumbu, reference... nk....
 
Mmmh ni sawa kama dini inasema ivo ila Kwakwel inabidi kuangalia na mazingira yenyewe mama una watoto unahangaika nini kwenda kuolewa na vijana bora angeolewa na mzee mwenziye ni sawa.
Hata uyo mkaka nae hajielewi anamuoa bibi mwenye wajuu ili iwaje?wataweza kweli kutengeneza familia????
Yan kuna vitu ukifikiria zaidi naona siyo sawa Kwakwel
Mzee mwenziwe ili akamshughulishe na kabao kamoja!! unajua huyo maza kakaa muda gani bila kuonja dudu kwa mirindimo inayotakiwa...acha mama ale raha za dunia kihalali kbs huku akisubiri siku zake zifike...huyo bro mwacheni nae ale mambo adimu ya kungwi plus mkwanja.

Kwetu waislamu sio tatizo kabisa...Mtume alimuoa Bi Khadija akiwa amezidiwa umri wa miaka 15 (40/25). Kwa hiyo:

1) Mtume alimuoa bi khadija kwa kuwa alikuwa Mjane (amemstiri)

2) Mtume alimuoa bi khadija kwa mali yake (amsaidie kuitunza) kwa sababu huyu maza alikuwa mfanya biashara tajiri pale makkah. Na pia ikumbukwe moja kati ya kigezo cha kuoa ktk uislamu,unaruhusiwa pia kuangalia kigezo cha Mali ya mwanamke,japo Dini yake ndo kigezo kikuu na kilichosisitizwa na Uislamu.

3) Bi khadija ndie aliyemtaka mtume kwanza (alikuwa wa kwanza kutongoza japo kwa njia za hekma) hii inamaana sio dhambi/aibu mwanamke kuanza kumpenda mwanaume ingawa anatakiwa asiwe too explicity kutokana na tamaduni.

4) Bi khadija ndo alikuwa mke wa kwanza wa Mtume.

NB: ukiangalia hali zooote hapo juu zinafall squarely na hali ya ndoa ya sasa ya Bi Sandara na Kiben ten chake..so not big issue...let them enjoy their marriage life yaliyomo ndani ya mioyo yao tusiwasemee maana hatuyajui,tuwaachie tu wenyewe.

Hapo hakuna hata mmoja aliyejidhalilisha/kudhalilishwa na mwenzake hali ingekuwa tofauti kama wangekuwa wanazini tu.
 
kila mtu ana nyege shida ni hizi njaa tu.ukiwa unakula vizuri huna mawazo nyege hata kama una miaka 50 hazikatiki na ofisi inarudia udogo na kwa mwanaume pia kukiwa na hela bibi unamuona kipusa na hata kama una kibamia kinasimama kama msumari mpaka kinapenya mbao bila nyundo ukitumia hata tofali msumari unaingia
 
Baba ni baba tu hata ufanye nini
Damu yako ni damu yako tu na zaidi yupo hai na anajulikana alipo...yeye na mama mzazi ni Mungu wa pili duniani..
Kumsaidia amsaidie kidogo tu lakin amkumbuke baba mzazi amtunze asije pata laana bure kuna vitu vingine unasamehe tu unamuachia Mungu
 
jamaa anakula mshiko kiulaiini
tumwache bibi nae afurahi bana hakuyapata hayo enzi za usichana wake
 
Inshort huyu kaka naskia ni mjanja sana yani yupo kimaslahi zaidi. Na nnasikia huyu mama kwa sasa ni mjamzito na soon anatarajia kujifungua yaani huyu kaka ndio anayefaidi hela za diamond kwa sasa kupitia mgongo wa mama yake bi sandra

Kiukweli mapenzi hayana umri so tumuacheni na maisha yale wapendwa ila huyu mama aache kujianika tu mitandaoni maaana anatia aibu sana
huyo yupo kimaslahi tu huoni ata watoto amemshika kwa kinyaa flani vyuma vimekaza hivi wamesha funga ndoa? na je anaitwa nani huyo uncle na mama yake diamond insta anatumia jina gani nimchore sorry kwa maswali
 
Naona mnajaribu kumrudisha kwenye chart diamond?

Nilishasema, mond bila kick atapotea kama moto wa majivu japo napenda kusikiliza muziki wake
Una stress za kuolewa kaombe ushauri kwa mama dangote akushauri ni kiaje upate mume.
 
Inshort huyu kaka naskia ni mjanja sana yani yupo kimaslahi zaidi. Na nnasikia huyu mama kwa sasa ni mjamzito na soon anatarajia kujifungua yaani huyu kaka ndio anayefaidi hela za diamond kwa sasa kupitia mgongo wa mama yake bi sandra

Kiukweli mapenzi hayana umri so tumuacheni na maisha yale wapendwa ila huyu mama aache kujianika tu mitandaoni maaana anatia aibu sana
Huyo mama si kashaanza menopause sasa iyo mimba kashikaje
 
Back
Top Bottom