Rais Magufuli, CDF mpelekeni Tundu Lissu mahakama ya kijeshi - court Marshall

Status
Not open for further replies.

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,892
16,414
Reference click here: Civilians can be court-martialled : Army Act amended - Newspaper - DAWN.COM

Kosa la Lissu:
Tundu Lissu anachonganisha TPDF na wananchi. Anachafua taswira ya jeshi letu.

Jana nilikuwa ninaangalia clip moja ya YouTube ikimuonesha mwanasiasa mmoja wanamuita Tundu Lissu akiwa anazungumza na vyonbo vya habari baada ya kutoka detention pale Central police station. How comes mwanasiasa wa ngazi za juu kama Lissu anadiriki kulishutumu jeshi la wananchi (TPDF), idara ya usalama wa taifa/majasusi pamoja na jeshi tukufu la police eti wameunda kikosi kazi (task force) kwa ajili ya kufanya torture. Kweli kabisa? Really?

Senior opposition leader kama Lissu dares to smear the very patriots ready to forsake their blood kwa yeye na familia yake kuwa salama. Lissu anajua gharama inayolipwa na vijana wetu usiku na mchana, ndani hata nje ya nchi kwa chi kuendelea kustawi?

Stage aliyofikia Lissu ya kuchonganisha wananchi na vyombo vya usalama can no longer be tolerated or handle by civilian judicial system. Lissu must be court Marshaled, no other option. Tanzania haipaswi kuruhusu wanasiasa wachochezi kama Lissu to cross the redline kiasi kile na kuchafua vyombo vya usalama na wananchi wake.

Wanasiasa wachonganishi kama Lissu ni lazima wadhibitiwe kwa nguvu zote za dolla.

Note:
Mabadiliko ya kisheria yanaweza kufanyika ili kuwezesha raia wachochezi wanaotenda makosa ya kijeshi kama Lissu kuweza kushitakiwa katika mahakama za kijeshi.

Reference: Civilians can be court-martialled : Army Act amended - Newspaper - DAWN.COM
 
Jana nilikuwa ninaangalia clip moja ya YouTube ikimuonesha mwanasiasa mmoja wanamuita Tundu Lissu akiwa anazungumza na vyonbo vya habari baada ya kutoka detention pale Central police station. How comes mwanasiasa wa ngazi za juu kama Lissu anadiriki kulishutumu jeshi la wananchi (TPDF), idara ya usalama wa taifa/majasusi pamoja na jeshi tukufu la police eti wameunda kikosi kazi (task force) kwa ajili ya kufanya torture. Kweli kabisa? Really?

Senior opposition leader kama Lissu dares to smear the very patriots ready to forsake their blood kwa yeye na familia yake kuwa salama. Lissu anajua gharama inayolipwa na vijana wetu usiku na mchana, ndani hata nje ya nchi kwa yeye nchi kuendelea kustawi?

Stage aliyofikia Lissu ya kuchonganisha wananchi na vyombo vya usalama can no longer be tolerated or handle by civilian judicial system. Lissu must be court Marshaled, no other option. Tanzania haipaswi kuruhusu wanasiasa to cross the redline kiasi kile.
Your not serious.....
 
Eti jeshi tukufu la polisi...
 
Sasa kwani uongo?
Aliyemtolea nape bastola mchana kweupe anatoka wapi?
Wanaoteka na kuumiza watu mfano Ulimboka,kibanda,ROMA n.k wanatoka wapi?

Ben saanane yupo wapi?

Acha kujitoa ufahamu,kumbuka malipo ni humu humu Duniani.

Ipo siku hata wewe unayejifanya kutetea moto utakuhusu,mungu hashindwi jambo.

Tume huru idaiwe mapema Tanzania ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana.

"Fikra huishi milele "
 
Jana nilikuwa ninaangalia clip moja ya YouTube ikimuonesha mwanasiasa mmoja wanamuita Tundu Lissu akiwa anazungumza na vyonbo vya habari baada ya kutoka detention pale Central police station. How comes mwanasiasa wa ngazi za juu kama Lissu anadiriki kulishutumu jeshi la wananchi (TPDF), idara ya usalama wa taifa/majasusi pamoja na jeshi tukufu la police eti wameunda kikosi kazi (task force) kwa ajili ya kufanya torture. Kweli kabisa? Really?

Senior opposition leader kama Lissu dares to smear the very patriots ready to forsake their blood kwa yeye na familia yake kuwa salama. Lissu anajua gharama inayolipwa na vijana wetu usiku na mchana, ndani hata nje ya nchi kwa yeye nchi kuendelea kustawi?

Stage aliyofikia Lissu ya kuchonganisha wananchi na vyombo vya usalama can no longer be tolerated or handle by civilian judicial system. Lissu must be court Marshaled, no other option. Tanzania haipaswi kuruhusu wanasiasa to cross the redline kiasi kile.
mpelekeni tu huko awatie aibu, atatoa ushahidi wa kutosha mbaki midomo wazi!
 
Unajua mahakama za kijeshi hazishughulikii kesi za RAIA ? Unajua maana ya uchochezi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom