Recent content by The Owlriginal

  1. The Owlriginal

    Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Ndo vyenyewe mkuu. Kulikoni?
  2. The Owlriginal

    Tundu Lissu: TLS tumeomba mwaliko wa Magufuli tukampongeze Ikulu

    Hii ni bonge la SARCASM. Nmeielewa sana hii
  3. The Owlriginal

    Mwakyembe kama kipo anachokiamini basi ni madaraka tu

    Msisahau Wakuu.. Hakuna mshauri mbaya kama NJAA. Njaa ndo mshauri mkubwa wa huyu bwana Minister
  4. The Owlriginal

    Nisaidie kuchagua mwanamke wa kuoa

    Huyo wa pili ANAMFILIA mkuu hadi anafurahi. [emoji23] [emoji23]
  5. The Owlriginal

    Nisaidie kuchagua mwanamke wa kuoa

    Hebu nipe namba zao niwasikilize kwanza mitazamo yao kuhusu wewe na maisha kwa ujumla, halaf ntarudi kwako kwa ushauri zaidi. Lengo ni ku-balance story
  6. The Owlriginal

    Msaada: Natafuta taasisi itakayonisomesha na baadaye nije kufanya kazi kwao

    Ivi we ndo unataka kwenda kusoma udaktari kweli hata hujui AMREF ni nini? Well, Hili shirika linapatikana Google.
  7. The Owlriginal

    Zitto: Waliomsindikiza RC Makonda ni walinzi maalum, kibali hutolewa na Rais au DG TISS

    Kwa maana jinsi hii 'Mungu wa Magogoni' alipenda Kiki/ Hata akamtuma mwanae wa pekee aende Clouds akawatie mikiki/ Ili kila atakayemwona au kumsikia ajue 'Bashi' sio wa kispotispoti/ Bali wajue he is the right hand of His Majesty. Amen.
  8. The Owlriginal

    Waziri wa Mambo ya ndani unani wewe!

    Usalama wa Taifa iko chini ya Ofisi ya Raisi. Na wizara ZOTE pamoja na Waziri Mkuu zipo chini ya Paul Makonda. Kwa kifupi, kimadaraka Tanzania akitoka Raisi anafuata Paul Makonda. Bado kuna kitu hakijaeleweka Wakuu?
  9. The Owlriginal

    Sakata la Makonda: Ruge wa Clouds Media ahojiwa na Polisi

    Unaweza rub shoulders na magwiji bro/ Ukamiliki ma-bungalow/ Watu wakakuita HERO/ But still IQ ikawa ZERO/ Sio kila mzigo unaweza beba/ Acha washtushwe - Huyu jamaa ni mzigo wa miiba/ Vya nchi Kavu haviendi angani/ Leo...Leo nani ni nani?/ Leo gear zinawachenjia angani/ Naomba_Mnisaidie_Kushea...
  10. The Owlriginal

    Mwili wa marehemu wafukuliwa upya kwa amri ya mkuu wa wilaya, polisi na daktari wachukuliwa hatua

    Sioni tofauti kati ya akili ya huyu DC na ya yule jamaa yetu aliyesema Hakuna ndoa kama huna Birth Certificate... Maana wanaonesha ukomavu kuanzia kwenye shingo kushuka chini, sio kwenda juu.
  11. The Owlriginal

    Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona

    Mkuu, 'Mfalame Juha' on fleek, wanasema watoto wa mjini. Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
  12. The Owlriginal

    Wanaume tuoneeni huruma dada/mama zenu

    In my opinion, this is a two-way phenomenon. Bahati mbaya sana umeamua kuitazama kwa upande mmoja. Sisemi kwamba ni sahihi baba kutomhudumia mwana. Hapana. That's totally unacceptable! Lakini je, unajua kwamba wewe binafsi una mchango wa zaidi ya 75% kwenye matatizo uliyonayo na huyo...
  13. The Owlriginal

    Mugabe asweka ndani mashoga hadi washike ujauzito

    Do you guys know there's a thing called "Human Rights"... "Freedom of Choice"..? Sasa what this Old folk is doing doesn't have any other name than TYRANNY. Kwani mashoga wakiamua kufunga ndoa wewe binafsi inakuathiri vipi? Raise your kids properly if you don't want them to do it, halafu let...
Back
Top Bottom