Sasa Lissu kwanini anaomba kwenda kumuona Rais anayemuita dictator?
Kumbe anajua hana lolote mbele ya Mgufuli hahahahahaha
Akumbuke hakuna vitumbua Ikulu.
Halafu, hivi huyo Lissu naye hakuwahi kusema kuwa hamtambui Magu kuwa ndo rais?
Kumbe anajua TLS ni nothing kwenye muhimili uliojichimbia zaidi!!!
Ukitaka kujua nguvu jiulize zile kelele za serikali (Maghufuli & Mwakyembe) zilikuwa za nini ?!All of sudden TLS is "useless", sasa zile nguvu zote ilikuwa nini?? Kupata airtime au??
Sasa Lissu kwanini anaomba kwenda kumuona Rais anayemuita dictator?
Kumbe anajua hana lolote mbele ya Mgufuli hahahahahaha
Akumbuke hakuna vitumbua Ikulu.
Halafu, hivi huyo Lissu naye hakuwahi kusema kuwa hamtambui Magu kuwa ndo rais?
Wamemis juice
Ninachokiona kwa wafuasi wa Maghufuli na CCM ni kuwa mnachangia sana kumisslead Mr Rais kuna wakati si kila wazo mlichukuli negative. Hawa ni watu wasomi wanataka nafasi ya konana na Rais kuwekana sawa ukizingatia hali iliyokuwepo kabla ya uchaguzi wa TLSKumpongeza sio lazima uende ikulu wewe rusha humu atasoma, pia unaweza tweet tu
Huyu sio Lissu ninaemjua, haya ni mabadiliko makubwa sana...hii kauli is very soothing... congrats Rais wa TLS.. Hapa hata ukimkosoa mtu anakubali na mnaelekezana... we need to excercise this...si kila siku maugomvi,kejeli n.k...
Ni Tundu lissu mwenyewe kasema watu wasiwe na mategemeo sababu tls haina meno kwa lugha nyingine.Ukitaka kujua nguvu jiulize zile kelele za serikali (Maghufuli & Mwakyembe) zilikuwa za nini ?!
Kazi anafanya ila kazi zinazostahili kufanwya na waziri aache waziri awajibike sio kila kitu yeye hata ambacho msaidizi wake angedili nacho yeye tayari sasa wengine watafanya kazi gani au hawaamini?JPM watu washaanza kukuelewa
Hata ampambe vipi magufuli hawezi kukaa na lisu ,,lisu ameshamtukana sana magu hata kama mimi ndo ningekuwa magu hilo lisingewezekana nawasilishaNchi haiwezi endeshwa kwa mabeef na uhasama...Tundu amesoma psychology anataka kumueasy huyu mpanikaji!!
Nijambo zuri kung'ata na kupuliza na ukishamjua mtu anapenda kutumia miguuuvu hutumii nguvu nyingi,ni akili tu kidogo
Bora ulitolewa malindaWewe ni puto kama haujanielewa pia!
In your fantasy!Bora ulitolewa malinda