Msaada: Natafuta taasisi itakayonisomesha na baadaye nije kufanya kazi kwao

Binman

Member
Jul 17, 2016
68
30
Habari wana jf,,, sorry kama kuna mtu analijua shirika lolote linasave mtu may be kumsomesha then anakuja kufanya kazi kwao kwa miaka kazaa,, anasaidie info zao... Coz nimepata chuo china. Sasa tatizo linakuja kwenye pesa,, au kama kuna mtu anajua scholarship za mtindo huo wa kuingia mkataba baada ya kusoma anisave...... Plz
 
CHINA mbona wanatoa scholarship nyingi tu? Ingia hapo google kisha chapa CUCAS utapata scholarship zao kibao, ukishindwa soma hapa hapa Tz kwa bodi ya mkopo inatosha,usitake makubwa
 
AMREF n shirika lililolenga kupunguza vifo vya mama na mtoto hasa vijijini..pia kwa kutambua ilo wamejitolea kusomesha afya(nursing) hasa upande wa cheti...japo na diploma pia.ukfanikiwa kumalza unafanya nao kaz miaka miwili..oia wanavyuo maalm wanavyokuhamishia
AMREF Linapatkana WAP hlo shirika...?
 
Nenda Ifakara Healtg institute IPO mikocheni .. Kuna Jamaa namfahamu alisomeshwa na hawa jamaa na mpaka sasa anafanya kazi hapo katika field hizo hizo za afya kuanzia degree mpaka masters ...

Cha msingi watembelee ukaongee nao

Wacheki hapa......
https://ihi.or.tz/
 
Nursing certificate na diploma rarely lakn ajila kutoka ndo issue mpaka ss nasugua bench npo home tu ugali ukiiva wanatumwa watoto kamuiten yule kaka yenu alye maliza chuo aje ale inauma sana
 
Nenda Ifakara Healtg institute IPO mikocheni .. Kuna Jamaa namfahamu alisomeshwa na hawa jamaa na mpaka sasa anafanya kazi hapo katika field hizo hizo za afya kuanzia degree mpaka masters ...

Cha msingi watembelee ukaongee nao

Wacheki hapa......
https://ihi.or.tz/
Mkuuu ifakara nao wanatoa support kwa kusomesha wanafunz wa afya kuanzia level gan...?
 
Kwa hapa tz tunapateje mchango wake wa hilo shirika
Mchango wake upo yaani unasomeshwa chuo hata kama ni private na unalipiwa 100% ya ada mwisho wasiku cheti wanachukua wao alafu kwakuwa mfumo kwa sasa umebadilika unasubiri ajira zitoke serikalini na ndipo unapangiwa kituo lakin ni kituo ambacho AMREF kinawahusu.
 
Back
Top Bottom