Recent content by The Most Winner

  1. The Most Winner

    Mwanafunzi atuhumiwa kuua mwenzake chuoni

    Mh kazi ipo. Pole yake marehemu. pujo
  2. The Most Winner

    Pwani: Tisa Mbaroni kwa mauaji ya mtoto wa miaka minne

    Dah!! Inasikitisha. Ulimwengu wa sasa unatisha sana. pujo
  3. The Most Winner

    GE2020 Peter Msigwa awasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

    Mkuu mbona unashindwa kujiamini au kuwaamini wanachadema wenzako kwa hiyo tuseme huna Imani na Msigwa? Ama Kweli kwa maneno yako basi Chadema inasikitisha kwann unamuamini Lisu tu, na hawa wengine hawaaminiki? Yani wanachadema wenyewe hawaaminiani duuh kazi ipo pujo
  4. The Most Winner

    GE2020 Kamati Kuu CCM kuteua wagombea watatu (03) ambao watapigiwa kura wajumbe wa jimbo husika

    Hii sasa ndo Democrasia ndani ya chama hii ndio taasisi, sio chama kile kwa jina nahifadhi,kinakuwa chini ya mtu mmoja( mtu mmoja ana ushawishi ndani ya chama),haina tofauti na Timu ya Azam inamililiwa na mtu mmoja(mtu mmoja ana ushawishi),maamuzi ya mtu mmoja yana nguvu badala ya watu wengi...
  5. The Most Winner

    Mke wa mtu kaja chumbani kwangu

    Ungejua gharama ya mke hata usinejaribu kufanya uovu ka!a huo, Mkuu najua ulijikwaa mara ya kwanza basi nakuomba uachane na mke wa jamaa assume ungekuwa Wewe ndo mwenye mke ingekuwaje au ungejisikiaje hayo maumivu? pujo
  6. The Most Winner

    Mke wa mtu kutembea nje ya Ndoa: Ni hatua zipi za kuchukua?

    Moyo umeniuma suna hata la kusema nakosa, any way ampe Mungu nafasi ili aamue kutokana na mapenz ya Mungu. pujo
  7. The Most Winner

    Kuna wanawake wanapenda vibaya jamani

    Mkuu huwa unasali?,Basi Muogope Mungu kuliko ushauri wa binadamu. pujo
  8. The Most Winner

    Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    Kujiendekeza tu na tamaa pujo
  9. The Most Winner

    Uzi wa kuwapa Ushauri wanachuo wanaorudi kumaliza semister kwa miezi 3

    Hamna inaweza ikawa permanent. Nenda kwenye signature. Setting, kuna sehemu utaona. pujo
  10. The Most Winner

    Biashara ya Tangawizi kwisha kabisa

    Ahahaha na malimao je?. Nayo kwisha habari yake. pujo
  11. The Most Winner

    Meli ya nne ya mafuta ya Iran yawasili Venezuela

    Zama za kuoneana zishapitwa na wakati pujo
  12. The Most Winner

    Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

    Siku zote mtu anaye onaewa huwa namuunga mkono kwa 100%
  13. The Most Winner

    Hataki kunipa 'Mzigo' nataka nimuache

    Mkuu nimesoma tu Title yako,kifupi ni kwamba hebu jitaidi basi umuoe ndo utafute huo sijui ndo mzigo kwanza unakosa adabu utaitaje viungo vya uzazi mzigo? Uasherati ndo mlishaonaga dili sana, nakushauri achana nae kama huna Mpango wa Kumuoa na ukipata mwingine basi muoe ili upate huo mzigo. pujo
  14. The Most Winner

    Wanaume tukumbuke kuoa wake wengi

    Nilivyoso!a Title tu, Uzi kama huu ni Wale wahanga wa mahusiano waliokosea au wazinzi au walifeli limahisiano na wakidhani ndoa ni sex tu,kumbe ndoa ni zaidi ya sex Ndoa ni Maisha ya Kiroho. pujo
Back
Top Bottom