Kuna wanawake wanapenda vibaya jamani

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,960
Huyu mdada tunafanya naye kazi yaani namshuhudia anaolewa tena harus yake sikuchanga na kadi alinipa na nikahudhuria vizuri tu

Huyu dada ananipendaga tu nishamla mara1 tu ana mtoto m1 amezaa na jamaa ila sasa kwa jinsi urafiki wetu ulivyo nikwamba ni mimi ndiye namkwepa ila huyu dada ananipenda vibaya mno yaani ni mimi ndio naheshimu ndoa yake. Leo ananambia eti nimpe mtoto m1 anaongeaga kimasihara lakini si kawaida yani, ni mke wa mtu, actualy hiyo kauli ilimtoka baada ya kukiss naye

Anasema anataka waongeze mtoto m1 na bwana wake hapo hapo na mimi ananambia maneno mengine.

Roho yangu unasita kumla tena naogopa, ananambia hata week hii nikitaka ananipa, sasa dah

Sijui nimle ila mambo ya wake za watu haya na wanawake wasivojua kuvunga wakichepuka si anantaftia balaa huyu
 
Mkuu usisahau kutembea na KILAINISHI ,,ili siku ikukukuta bahati mbaya inawarahisishia akina MUDDY.,,,kutekeleza mipango yao
Huyu mdada tunafanya naye kazi yaani namshuhudia anaolewa tena harus yake sikuchanga na kadi alinipa na nikahudhuria vizuri tu

Huyu dada ananipendaga tu nishamla mara1 tu ana mtoto m1 amezaa na jamaa ila sasa kwa jinsi urafiki wetu ulivyo nikwamba ni mimi ndiye namkwepa ila huyu dada ananipenda vibaya mno yaani ni mimi ndio naheshimu ndoa yake. Leo ananambia eti nimpe mtoto m1 anaongeaga kimasihara lakini si kawaida yani, ni mke wa mtu, actualy hiyo kauli ilimtoka baada ya kukiss naye

Anasema anataka waongeze mtoto m1 na bwana wake hapo hapo na mimi ananambia maneno mengine.

Roho yangu unasita kumla tena naogopa, ananambia hata week hii nikitaka ananipa, sasa dah

Sijui nimle ila mambo ya wake za watu haya na wanawake wasivojua kuvunga wakichepuka si anantaftia balaa huyu
 
Hakuna dhambi mbaya na itakayokusumbua maishani na kukuletea mikosi ya kila aina na na majuto kama ya kulala na mke wa mtu. Ile tu kusita kwako ina maana Mungu Anakuonya. Ikimbie hiyo dhambi mkuu
Mkuu mm Kuna mmj nilistua tu, ameganda, Yaani napata shida Sasa kuachana nae, namkwepa hakwepeki, namlia hela, hataki ili aniache aone sifai,waapi. Anamwambia anaki na Nashua wake waaapi, kwa Sasa tumeachana amehama,ndio nafuu yangu.

Wanaume mnakuwa Sana wake Zenu.
 
Hongera Sana Mkuu Fuata Ushauri wa Kutembea na KY Jelly in case Mwenyewe Akikufuma.
 
Back
Top Bottom