Recent content by The Memory

  1. T

    JamiiForums Tanzania TCU ni lazima Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu kinachomilikiwa na Kanisa awe Mchungaji au Padre? Basi wawadahili wanafunzi ambao ni waumini wao tu!

    Huu ni uzi wa pili nauona hapa JF kuhusu chuo cha Tumaini,kwa hakika kuna kitu hakipo sawa.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nchimbi analipwa alivyowafanyia uamsho

    Mijadala ya kitaifa ikianza kupewa maoni kwa mtazamo wa kidini ni hatari zaidi.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

    Huwa ni jambo la wakati tu.Utawala m`baya humgsa kila mtu katika nyakati tofauti.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini majiji yetu Tanzania hatuwezi kuyafanya yawe masafi kama Kigali?

    Sehemu zikiwa planned ni rahisi kuwa safi angalia Masaki. Eneo kama Kigogo,Manzese,Vingunguti nk zinaanzaje kuwa safi ? Sababu nyumba zenyewe zilivyo ni uchafu. Ogopa jamii ambayo Kila eneo wanataka kuweka cargo, garage,Genge,vibanda vya pesa nk Nchi ambayo open spaces zinauzwa na mamlaka.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Unapenda watoto?

    Mtoto akiwa mdogo hasa wa kiume ile unamnyanyua alafu akakojokea huwa inaleta raha furani ya ajabu sana. But yule kijana marehemu wa pale Kagera ni mpumbavu sana
  6. T

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kati ya Benki 5 kubwa duniani 4 ni za China? Benki za Marekani zikifuata nyuma ya China

    Kwenye huu Uzi Kuna tatizo Moja la uelewa Kuna watu wanataka mfumo wa nchi za Magharibi ndo uwe applied sehemu zote,Mchina kuwa na mfumo wao kwao ndo wanaona ndo bora na umeleta matokeo hivyo hivyo Kwa nchi za Ulaya.Kama binadamu hatufanani basi hata vitu vya kuendesha uchumi haviwezi kuwa na...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Undugu wetu, uendelee tu kukutana kipindi cha misiba tu?

    Ukifika wanaanza kufurahia huku wakikuambia Kuna vitu vimechea,wewe unatoa pesa ili mahitaji yawepo.kumbe ndo umepalilia moto ukuwakie bila kujua,wengine usiku huo huo huja kukusalimia ulipo lala kuona una kinga au upo upo kama white paper.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Undugu wetu, uendelee tu kukutana kipindi cha misiba tu?

    Mtu mweusi hapendi kuona mafanikio ya mwingine wakati yeye hata kupata mlo ni shida,utaumizwa vibaya sana na ndugu zako haswa kwenye ushirikina
  9. T

    JamiiForums Tanzania Undugu wetu, uendelee tu kukutana kipindi cha misiba tu?

    Kwenye misiba pia ni eneo la watu kujua nani kajipata na nani bado ni mnywa maji ya kandoro. Wengine ndo huanza kupiga simu wapi watampa mtaalamu ili kushughulikia wewe mwenye maendeleo kuliko wao.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Undugu wetu, uendelee tu kukutana kipindi cha misiba tu?

    Jambo hilo ni nzuri lakini Kwa mtu mweusi ni jambo la kutembea Kwa watu kama Mshana Jr
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Ajira Portal

    Hizo paper sio za kusoma sana,maana unaweza soma mpaka nukta alafu unakutana na "Not selected for oral interview" Mwambie vituo ni KIU,TIA nk Kwa wale wa Dar
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwasasa ni Arsenal na Chadema ndiyo Habari ya mjini,Nyie wengine subirini kwanza!

    Kweli kasha fariki bwana Seif (RIP)
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kwasasa ni Arsenal na Chadema ndiyo Habari ya mjini,Nyie wengine subirini kwanza!

    Nje na mada mwanao Seif ,pale kirando kafariki mwaka huu.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nafikiria sehemu ya kwenda kurelax hakuna

    Mipango miji tu ni kasheshe ndo tutaweza mambo ya open space? Jiji la Dar ni kama hell.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, jitahidi kunyandua vizuri

    Kupata maendeleo hii nchi ni ngumu sana.Leo ni siku ya Dominica lakini watu wanawaza uhuni tu.
Back
Top Bottom