Recent content by the mambas

  1. T

    JamiiForums Tanzania Udom kama Barcelona

    majengo safi + wanafunzi wenye div3 + uhaba wa wakufunzi = ????????????
  2. T

    JamiiForums Tanzania Padre aitaka CCM ijiandae KUONDOKA; Adai yuko tayari kupigwa risasi akisema ukweli

    Hawa ndio manabii wa UWO + NGO waliotabiriwa ktk maandiko matakatifu padri au mvaa gwanda na bado tutashuhudia makubwa waanzishe kikundi kamavile......
  3. T

    JamiiForums Tanzania Padre aitaka CCM ijiandae KUONDOKA; Adai yuko tayari kupigwa risasi akisema ukweli

    'Uelewi eeeh, bado kinda wewe (huna maono)
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wanaume, tupeni majibu hapa...

    mmmmmhhh!!!!!!!, taaaaam
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Lema afunguka, asema bora afukuzwe kazi!

    Hivi umetumia lugha gani? Unaweza kusoma mistari mitatu ya mwanzo? Maneno hayo yana maana gani? Hebu soma maelezo yako kuanzia mwanzo hadi mwisho, umeelewa nini. Sasa umetambua cha kufanya kabla hujatuletea?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tamko la JWTZ juu ya picha ya Lema na Mwanajeshi katika Mwananchi la Leo

    "ONGEA KWA TAALUMA" usitumie utashi, sheria za kazi yake zinasemaje? ACHENI UMBUMBUMBU. sheria zinaeleweka kwa wanaojitambua.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji: Nina mimba ya Sharo, mara tena alitaka kuoa shombe shombe, tutasikia mengi

    .........umenena mkuu.......... Nimeipenda hiyo
  8. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya msiba wa Mr Innocent

    Ndugu wana JF mwenzetu, kaka yetu na rafiki yetu Mwl INNOCENT wa shule ya sekondari St. Mark's ya Kongowe Mbagala DSM ametutoka
  9. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya msiba wa mr innocent

    Ndugu wana JF Mwalimu wa st. mark's sekondari-mbagala kongowe amefariki dunia
  10. T

    JamiiForums Tanzania Dakika 45 ITV na Philip Mulugo

    " mmmh, sawasawa "
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwa Manji (Quality Plaza) kuna majambazi wanaungurumisha risasi

    "poleni sna wenze2" ndio kauli.
  12. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    "cc sote ni Mwenye ezi Mungu na kwa hakika kwake yeye ndio marejeo yetu"
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kidato cha Tano 2013 Mihula yao ikoje?

    Form 5 2013 mtaingia july 2013 ila still form vi watamaliza kama kawaida mwezi wa pili hiyo mwakani. pole sna mkuu.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Shein kafunguwa Guntanamo yake Zanzibar ili kumridhisha JK asimfukuze?

    Acha upuuzi sema vya kweli na vyenye tija na kujenga UMA.
Back
Top Bottom