Recent content by The Lisova

  1. The Lisova

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Nimechoka Kusikiliza Uongo Kwenye Mazishi!" - Padri Gichure Ailipukia Familia Wakati wa Mazishi.

    Kwa kawaida ibada ya mazishi inatakiwa ilenge zaidi sisi tulio hai, mahubiri yatulenge tulio hai kwa sababu huyo aliyekufa habari yake imekwisha, kitabu chake hapa duniani kimefungwa, haijalishi mtamsifia kiasi gani au kumlaumu kiasi gani haitabadili maisha yake aliyonayo huko aliko! Kwahiyo...
  2. The Lisova

    JamiiForums Tanzania Tribute to Wicknell Chivayo: Kuzikwa Kesho Zimba Japo Sio Mtanzania, Watanzania, Afrika Mashariki, Africa Tumefiwa!, Tunakulilia, Buriani BiliBonge!

    Kuna usemi wa Wana Nigeria uko kwenye kitabu cha THE CONCUBINE kilichoandikwa na mwandishi nguli na maarufu sana Elechi Amad unasema " Death is a bad reaper reaps even unripened fruits" na usemi mwingine kwenye kitabu hichohicho unasema " if a son can wash his hands then he can dine with...
  3. The Lisova

    JamiiForums Tanzania Unatafuta Vifaa vya Ujenzi? Karibu VN Warehouse Limited – Tunauza Jumla na Rejareja

    Weka bei bro. Bila bei ni sawa na kupanua mdomo bila kutoa sauti (ukidhani watu wanakusikia)
  4. The Lisova

    JamiiForums Tanzania Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

    Kubwa sana analopaswa kuzingatia kwa sasa ni hatima ya huyo mtoto, maamuzi yake yamebeba hatima ya huyo mtoto (Izingatiwe mtoto hana kosa lolote katika hili tukio), kwa sababu mtoto anaye anahisia, hatujui atalipokeaje atakapo ambiwa. Nina mshauri aendelee kumlea huyo mtoto kama kawaida, na...
  5. The Lisova

    JamiiForums Tanzania Wajue wasomi hawa wenye IQ kubwa, wanaoamini kuwa Biblia ni kitabu cha kweli

    Mimi nani hata ni Katae? Ninakiri kwa kinywa changu kuwa Biblia ni kitabu cha kweli na YESU KRISTO ni BWANA na Mwokozi. Na yeye ndiye njia, kweli na uzima.
  6. The Lisova

    JamiiForums Tanzania Hii video huwa inanifikirisha sana

    Hiyo video ilisambaa sana mwaka jana wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Ukikutana na wahitaji halisi usisite kuwasaidia, hasa watoto. Maisha ni magumu sana kwa walio wengi. Mshukuru MUNGU kama una uhakika wa kupata mlo kamili wa siku.
  7. The Lisova

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

    Uko sahihi!! Mimi niliacha mahali fulani karibu 3m kizembe sana kwa mtindo huohuo wa mafundi kulazimisha matengenezo ambayo hayakuwa kwenye mpango.
  8. The Lisova

    JamiiForums Tanzania Malisa: Polisi hawajatuachia kwa dhamana kama walivyosema, wala sijahojiwa kwa tuhuma za jinai

    Nimecheka sana peke yangu! Watu mnamisemo sana!
  9. The Lisova

    JamiiForums Tanzania Walokole ni kundi maalum

    Huyu siyo mlokole, Usichanganye ulokole na imani nyingine kama hizi.
  10. The Lisova

    JamiiForums Tanzania Tupatie mwanao tumfundishe na kumjengea uwezo mkubwa

    Mpo mkoa gani?
  11. The Lisova

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa sungura

  12. The Lisova

    JamiiForums Tanzania Samaki Ladha nzuri na ya kuvutia

    Ni swali la msingi japo kauliza kwa lugha ya maskhara kidogo, hao samaki wataokwa, watakaangwa au watachemshwa?
  13. The Lisova

    JamiiForums Tanzania Kwanini netanyahu amefunika lenzi za kamera kwenye simu yake?

    Kupunguza huo usumbufu si wamtengenezee isiyo na kamera??
  14. The Lisova

    JamiiForums Tanzania Wajue watu hawa wenye IQ kubwa walioamua kuwa Wakristo

    Pole, BWANA YESU akusaidie uwe na akili huru!!
Back
Top Bottom