Recent content by The Legacy

  1. The Legacy

    JamiiForums Tanzania 😂 MAISHA YA CHUO HAYAITAJI UJINGA!

    Nilifanya unyambilisi,napewa Ada na mazazi then chuo nimepata mkopo 100% Nilifanikiwa kuwa na jiko la chips chuoni then nikapata jingine mtaani
  2. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Ujana ni mengi lakini baadhi ya makosa huacha makovu ya maisha

    Sio kila mwanamke unapaswa kulala nae, wengine ni mitego ta shetani, Heshimu mboo yako , Sii kula mwanamke anapaswa kuwa mama wa watoto wako, matumbo ya wanawake hubeba hatima ya kizazi chako
  3. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Sisi kina Kweka tunasema kile kuwanha ni cha ndugu yetu
  4. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Ulifundishwa Nini Uongo Shuleni?

    Mwalimu ana akili kunizidi
  5. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Unajiitaje mtoto wa mjini (born town ) na huna mganga wa uhakika au huwajui waganga?

    Oya we nani hebu tuheshimiane bwana,Uganga tena huku Jf
  6. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamisha makazi Tunduma, wenyeji wa huko hali ikoje kwa ufugaji wa ngamia

    Ingekua nguruwe sawa Mbeya tunakula sana sasa ngamia mzee we msomali,kule hakuna mchanga
  7. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Dunia Ina mengi yasioeleweka.

    Mh,Kama una kitu hivi
  8. The Legacy

    JamiiForums Tanzania TCRA kuondoa vocha za kukwangua kuanzia Januari 2027.

    Duh mmefika huku
  9. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Hapo Hoja nazitoa wapi Jirani, Kweka si unajua anaumwa afu yupo Rumande. Ila kama Jane alihama hapo kwake alikuja kufanyanini?Kuna mengi hatuyajui maana Jane amefariki na Kweka Hasemi kitu wala hana pakusemea. Hawa walikua wana ndoa, waliishi kwa miaka 18 ,ni ngumu kupata majibu hapa juu juu...
  10. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Jirani umempendelea sana Jane Urasa mpaka hisia zangu zimekata
  11. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Hizi maada hazikufai hata kidogo.Tupe namna ya kupeana cha usiku
  12. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaoua wake zao kwa risasi Marekani ni tofauti na wa Tanzania. Wanaua kwanza mke, watoto na baadaye kujiua

    Hakuna kuuana,Hutaki mtoto wa mwenzio mrudishe kwao, kama ni wewe umekuja kufuata mwanaume ondoka.
  13. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Mke wa Mabeste awekwe hapa
  14. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Wanaojua ukweli ni Kweka na Jane sasa hivi tutasikia mengi kwa ndugu na wapambe wa jinsia hizi mbili
Back
Top Bottom