Kuna namna unaweza vaa watu wakakudharau, wakakuona una ushamba au utoto mwingi.

Kuna namna unaweza vaa watu wakakudharau, wakakuona una ushamba au utoto mwingi.

20260531_142307.jpg

Ngoja Nimalizie Hii,,,Then Nitakuja Na Maoni,,Maono,,,Mitazamo Na Fikra Zangu Kuhusu Hii Mada.....
 
Kuna fashion... Acha zipite. Kuna mitindo au mambo yaache yapite. Ukiwa na umri wa kuanzia 30s na kuendelea unatakiwa ukue kiakili pia na kimtizamo.

Uvaaji flani unaweza kufanya watu wakuone haupo serious. Una ushamba mwingi au ulimbukeni. Mtu mzima kabisa unaweza vaa hivi? Ni utoto na ushamba.
View attachment 3598366
fasion nyingi zmenipita ujana wangu, sikua mtu wa fasion kabsa.

Mara nying mtoko wangu tangu nikiwa primary ni jeans suruali kitambaa na shati draft mikono mirefu
 
Huko kukua nako ni ushamba na uzamani hapa kata mjundu hadi uzeen siachi kuvaa
 
Ukishakua busy na Familia hauwezi kuwa na muda wa kwenda na fashion.

Hasa hasa wanaume. Wanawake wameumbiwa kwenda na wanaoenda ndo zao hizo!!!!
 
Kuna fashion... Acha zipite. Kuna mitindo au mambo yaache yapite. Ukiwa na umri wa kuanzia 30s na kuendelea unatakiwa ukue kiakili pia na kimtizamo.

Uvaaji flani unaweza kufanya watu wakuone haupo serious. Una ushamba mwingi au ulimbukeni. Mtu mzima kabisa unaweza vaa hivi? Ni utoto na ushamba.
View attachment 3598366
Wrap sports sunglasses hizi mkuu,Punguza ushamba wewe
 
Back
Top Bottom