Mwaka juzi nilikuwa napiga hiyo kitu,afu nipo nyumba ya kupanga..kila siku napata kesi kwa wife🤣🤣😃
Anyway,mimi mtu asiyekunywa pombe simfagilii kabisa,na kama hakuna namna ya kumkwepa huwa naongeza umakini sana ninapokuwa naye..jamaa wanakuwaga jau sana wambea wambea,wanafiki,kufuatilia maisha...