Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,337
- 46,122
Nikiwa nauza jumla niliambiwa hivyo na wakulungwa.Sidhani nina uzoefu mkubwa wa hiki kitu nimefanya kazi na Mzalendo Iringa pale.
Huwa inatokea Bia zinaadimika na viwanda vya TBL vinaanza kufanya mgawo wa pombe kutokana na production kuwa ndogo So labda TBL mbeya wanataka gari 400 ila matokeo yake wanapelekewa 100 ambazo hazitakidhi viwango.
Ajabu ni hapo kwa Bingwa hii inazalishwa mbeya iweje ipotee