Recent content by The Kop

  1. The Kop

    Nyumba inapangishwa Dodoma

    Mie natafuta nyumba ya kupanga ya kujitegemea iwe Mandela Road, Dar.. Bajeti 200,000/=@3 pm plz
  2. The Kop

    Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

    Kanunue vipande UTT mkuu.. Vipande vinapanda thamani daily.. Na Muda wowote ukihitaji fedha yako unaenda kuuza vipande vyako..
  3. The Kop

    Msaada wa simu ya TECNO C8

    Nina Samsung GT N7000 imegoma ku install Google play store.. Msaada namna ya kufanya plz
  4. The Kop

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Simu yangu ya Samsung imegoma kuistall whatsaap instagram na play store.. Nifanyeje.. Tatizo limetokea ghafla tu..
  5. The Kop

    Natafuta wafanyakazi

    Basi sawa.. Waziri amekuja kuzindua kiwanda cha kukamua?
  6. The Kop

    Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

    Ungekuwa genius ungeshabuni kitu cha maana.. Hizo zingine ni tabia za majini tu.. Em nambie niko wapi ss hv..
  7. The Kop

    Rais Magufuli Mungu amekupa nafasi kusaidia Taifa, Tafadhali tuokoe maisha magumu.

    CCM ni adui wa taifa.. Tutegemee maumivu makali zaid..
  8. The Kop

    Nafasi za kazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)

    Una uhakika mkuu... Kumbe bora nibaki tu huku.. Mbona ndogo sanaa
  9. The Kop

    Nafasi za kazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)

    Kwa wajuvi wa mambo scale ya PGSS 2.1 ni sh ngap...nataka ku apply but nijue hicho kiasi nisipoteze hapa nilipo kumbe huku kiduchu..
  10. The Kop

    Kwanini wanaume wengi hawawezi kuoa mwanamke mwenye watoto?

    Mapenzi km yapo yapo tu.. Awe amezaa au bado.. Unaweza kujidai umeoa hajazaa kumbe umeoa mama wa marehemu.. Yaani ashafanya abortion vya kutosha...
  11. The Kop

    Walioacha kazi au kuachishwa

    Mimi nilienda masomoni baada ya kumaliza niliomba kurudi lkn hakijaeleweka had ss hv
  12. The Kop

    Walioacha kazi au kuachishwa

    Mkuu nikiandika pm sioni sehemu ya ku send.. Msaada tafadhalu
  13. The Kop

    Magufuli na Mt.Petro: "majabali" Wawili katika enzi tofaiti.

    Hakuna mtakatifu hapa duniani ila Mungu Baba wa Mbinguni tu.. Warumi 3:10-12
  14. The Kop

    2020 Mh. Rais JPM aendelee sbb he is the best President ever, kura ya nini? He is REAL..!

    Wewe umepewa ya kulevya sio bure... Siku hizi wanafunzi wenye akili wanasema TZ c nchi ya kidemokrasia..
Back
Top Bottom