Msaada wa simu ya TECNO C8

fordzz

Member
Mar 26, 2017
60
125
Habar zenu wakuu, sim yangu ni tecno C8 inatatizo ukiwa unasoma thread tena hii ya jamiiforamu mfano unasoma maada harafu unakuwa unaangalia comment, mara inarud kawaida katka screen, non tatizo wakuu msaada pls,
 
Hunyu

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,784
2,000
I used to have same kind of phone.

Zina matatizo sana C8, nilimpata mnyonge nikambambika. Mara inastack mara inakuwa slow.

Sina suluhisho ila unaweza kuiuza tu maana kwanza zinashapitwa na wakati
 
The Kop

JF-Expert Member
Aug 7, 2010
209
225
Nina Samsung GT N7000 imegoma ku install Google play store.. Msaada namna ya kufanya plz
 
son_of_masia

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
353
250
Habar zenu wakuu, sim yangu ni tecno C8 inatatizo ukiwa unasoma thread tena hii ya jamiiforamu mfano unasoma maada harafu unakuwa unaangalia comment, mara inarud kawaida katka screen, non tatizo wakuu msaada pls,
Ingia setting/app then click jamii forums kisha select select palipoandikwa clear cache.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,751
2,000
Habar zenu wakuu, sim yangu ni tecno C8 inatatizo ukiwa unasoma thread tena hii ya jamiiforamu mfano unasoma maada harafu unakuwa unaangalia comment, mara inarud kawaida katka screen, non tatizo wakuu msaada pls,
1. unatumia nini kuingilia jamiiforums? app au browser? kama ni browser unatumia ipi? chrome, opera etc

2. ikisharudi screen ukirudi jamiiforums inarudi pale pale ulipoishia au inaanza upya?
 
Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,581
2,000
Mi natumia simu kama yako Tecno C8 Na sometime inakuwa na hilo tatzo ila nalisove kwa kurestart simu,Nikisharestart simu na tatizo linakuwa halipo na hilo tatizo linakuja kama nitatumia simu muda mrefu na kwa mambo mengi bila kuirestat.

Ushauri kurestat simu ni kama unavyo Reflash laptop yako ili iwe nyepesi na simu inaitaji hivyo hivyo ile zile tabs zilizopo zitoke na kuiacha simu ikiwa nyepesi kuwa na mazoea ya kurestart simu yako kila unavyoona umeitumia muda mrefu.
 
Asante mkuu umenipa mwanga hapo
 
ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,061
2,000
I used to have same kind of phone.

Zina matatizo sana C8, nilimpata mnyonge nikambambika. Mara inastack mara inakuwa slow.

Sina suluhisho ila unaweza kuiuza tu maana kwanza zinashapitwa na wakati
kuna simu ya jamaa mi km fundi huwa natengeneza lkn sasa kila akileta namminya elfu 10
 
Mdomo wa Bata

Senior Member
Nov 20, 2016
129
250
Habar zenu wakuu, sim yangu ni tecno C8 inatatizo ukiwa unasoma thread tena hii ya jamiiforamu mfano unasoma maada harafu unakuwa unaangalia comment, mara inarud kawaida katka screen, non tatizo wakuu msaada pls,
Hata yangu Mkuu muda wowote itaka
 
MoneyHeist4

JF-Expert Member
Jul 10, 2017
1,092
2,000
Mi natumia simu kama yako Tecno C8 Na sometime inakuwa na hilo tatzo ila nalisove kwa kurestart simu,Nikisharestart simu na tatizo linakuwa halipo na hilo tatizo linakuja kama nitatumia simu muda mrefu na kwa mambo mengi bila kuirestat.

Ushauri kurestat simu ni kama unavyo Reflash laptop yako ili iwe nyepesi na simu inaitaji hivyo hivyo ile zile tabs zilizopo zitoke na kuiacha simu ikiwa nyepesi kuwa na mazoea ya kurestart simu yako kila unavyoona umeitumia muda mrefu.

Utakuwa una restart simu mpka lini? Simubhizo ni mbovu tu, watu tunakaaa na simu miezi miwili bila kuizima na kupiga kazi inapiga kazi fresh tu.
Hizo simu ni mbovu tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom