Recent content by The kingmaster

  1. The kingmaster

    Astral projection mnaona inawezekana, ila mtu kwenda mbinguni na karudi haiwezekani. Rethink

    Walio rohoni huyatafakari ya rohoni, wa mwilini hawezi kuyaona ya rohoni. Ila kwa neema ya Mungu tunapata kukombolewa.
  2. The kingmaster

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kwa situation inavosomeka naona kila dalili ya kuumia kwa sehemu za Siri kwa hizi siku 2
  3. The kingmaster

    Wapi pazuri kuishi baada ya kustaafu?

    Kuishi karibu na ukoo wenu ni jambo la msingi sana na la kheri hasa kipindi ambacho huna mishe za kufanya kuna muda itakuhitaji kupata msaada wao wa karibu hata Kama sio wa kifedha.
  4. The kingmaster

    Chuo cha UDSM-MCHAS acheni kuua ndoto za watu nakutoa GPA zisizo eleweka

    Halafu wanakutaka u state a patient case as if we ni professor, usipofanya vile watakavyo utaonekana we boya, wanatumia uelewa wako kama kivuli cha kutoendelea. Miaka ya 2018, kuna kuna pediatrician mmoja anaitwa SHOMVI MADEVU! amewatesa sana Clinical Officers waliokuwa wanasoma pale yaani hadi...
  5. The kingmaster

    University Admission Results 2020

    Mkuu una link ya matokeo udsm kwenye mfumo wa pdf?
  6. The kingmaster

    Nimefika Sumbawanga, nakutaadharisha wewe dada ulieniibia CRDB Chanika

    Umeshauriwa kukaa mita 1, we unaamua kukaa mita 100. Anyway acha akawasikilize walioko mita 100 kama za kwake naamini na ramani atakayopewa kuielewa ni mpaka akae mita 100 vilevile. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. The kingmaster

    Mwenza bora anahitajika

    Hata kifurushi cha mwaka hakipo vile, barakoa maeneo yenu sh. ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. The kingmaster

    Club Brugge inanipigia kibonde Real Madrid

    Hamna namna nyengine wapigwe tu.
  9. The kingmaster

    Tuanze kukisia maneno ya Zahera baada ya kichapo kutoka kwa Zesco. Kikongo ruksa!

    Angalia kumawasapu, kumatwita yote yanasema yanga imeingizwa goli moya na zesco, mimi nawambia mashabiki yangu kwao tunaingiza goli hizi[emoji111]mbili.
  10. The kingmaster

    Kwa walio kosa vyuo (cheti & diploma)

    Nacte imeongeza muda wa udahili kuanzia tarehe 7 - 21 september 2019, kazi kwenu kuitumia fursa
Back
Top Bottom