Kwa walio kosa vyuo (cheti & diploma)

Aug 21, 2018
20
21
Nacte imeongeza muda wa udahili kuanzia tarehe 7 - 21 september 2019, kazi kwenu kuitumia fursa
Screenshot_20190907-230043.jpg
 
Habarii wakuu nina division 2 na ufaulu wa masomo phys C chemistry B biology B English B mengine yote C niliomba c o sijafanikiwa na dirisha ndo hivo limefungwa duh naombeni ushauri
 
Nacte imeongeza muda wa udahili kuanzia tarehe 7 - 21 september 2019, kazi kwenu kuitumia fursaView attachment 1201135

Mbona nacte haijafunguliwa?
Hapa kuna utata tu, NACTE ipi inaongelewa? Ukienda kwenye website yao hakuna hiyo taarifa. Ukisoma kalenda yao ya udahili majina watatoa October 5, 2019. Kama selections hazija toka sasa utajuaje umekosa? Utakuwaje na dirisha dogo wakati hilo kubwa halija leta matunda. Nafikiri tatizo moja la NACTE ni kuwa na mifumo tofauti kwa program tofauti-nasikia kuna program unaomba kupitia NACTE portal na program nyingine unaomba kupitia chuo moja kwa moja, na nyingine zinapitia TAMISEMI. Wizara ya Elimu na Afya zina sauti kubwa sana na sio wizara nyingine-haya yote yanachanganya watu. Hivyo Dr Akwilapo anapoiagiza NACTE hatujui ni nini anakimaanisha bila NACTE kutoa ufafanuzi.
 
Nacte hiyo hiyo na majina ya waliochaguliwa tayari yalishatolewa mbona
 
Sijaelwa hapo kule kwenye calendar wanasema 5 october ndo wanatoa majina sasa inakuwaje hapo dirisha dogo tena wakt hatujui kama tumechaguLiwa au lah kwa ss wa diploma msaada tafadhali jombaaas
Ingia kwenye website ya nacte utakutana na Selection 2019/2020 utaangalia kama umechaguliwa
 
Sijaelwa hapo kule kwenye calendar wanasema 5 october ndo wanatoa majina sasa inakuwaje hapo dirisha dogo tena wakt hatujui kama tumechaguLiwa au lah kwa ss wa diploma msaada tafadhali jombaaas
Ukifuata sana kalenda yao utapotea
 
Mbona ukipiga simu chuo husika unaaambiwa dirisha limefugwa hadi mwakani Mimi nimeenda hadi Chuon kabsa wamenambia dirisha lishafugwa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom