Wapeni salamu wadogo zangu wote waliomaliza darasa la saba

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,200
1,747
Shikamoo baba na mama, natambua mna furaha iliyo kuu Sana kwa kuwa wadogo zangu wamemaliza masomo yao ya shule ya msingi.

Hivi ndivyo vitu mtakavyowaambia
  • waambieni wasianze kuzagaa mtaani pasipo na sababu za msingi
  • Waambieni wasiombe pesa kwa ajili ya kununua masimatifoni, najua mna uwezo wa kuwapa ila msiwape
  • Waambieni wajifunze kazi muhimu kwa kutulia majumbani Kama vile kupika na kuosha vyombo maana hapa nilipo baba na mama, wengine hawafahamu hata kuosha vyombo
  • Waambieni bado hawajakua hivyo wasijikuze maana hapa nilipo wengine wanafahamu Kuna jamiiforum na mambo ya mmu
  • Mwisho natanguliza shukurani nikiamini mtawaambia salamu hizi.
 
Sawa mkuu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom