Torquemada
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 231
- 257
Sijui wapo busy kuchakacha matokeo ya uchaguzi.i am so sorry. Alafu leo mbona wamechelewa
Hii TCU nayo!
Sijui wapo busy kuchakacha matokeo ya uchaguzi.i am so sorry. Alafu leo mbona wamechelewa
TCU ilitoa tamko majibu ya second round kwa vyuo vyote yatolewe kesho. Natumaini kesho asubuhi mkiingia kwenye account zenu mtapata majibu.Hadi muda huu kimya MZUMBE UDSM UDOM IFM
Walisema tarehe 29 yatatangazwa!TCU ilitoa tamko majibu ya second round kwa vyuo vyote yatolewe kesho. Natumaini kesho asubuhi mkiingia kwenye account zenu mtapata majibu.
Poleni kwa kusubiri!
daaahUdsm, Mzumbe tayari.
Naambiwa nina multiple selection, hivyo vyuo vingine ( udom & tudarco) matokeo bhado
Sasa kivipi nina multiple selection?View attachment 1615380
Vipi mkuu?daaah
hiyo koziVipi mkuu?
Hongera mkuu. Course ipi?Nimechaguliwa udsm,mzumbe na iringa. Thanks allah
Ipoje mkuu?hiyo kozi
-Bachelor of commerce in Accounting-udsmHongera mkuu. Course ipi?
Mkuu una link ya matokeo udsm kwenye mfumo wa pdf?Nimechaguliwa udsm,mzumbe na iringa. Thanks allah
Hapana mkuu ingia kwa account yakoMkuu una link ya matokeo udsm kwenye mfumo wa pdf?