Recent content by the hero man

  1. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikitimiza haya, IKULU ni yao 2015

    Ni kweli kabisa !
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Sonko ni mhuni wanajamvi...katoa picha zake na Shebesh wakiwa faragha!

    members of parliament (MPs)
  3. T

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

    acheni uzandiki nendeni mkamuchunguze,munataka ajichunguze mwenyewe au sisi ndani ya chadema ndio tumuchunguze hawezi kua mtuhumiwa na hakimu at the same time
  4. T

    JamiiForums Tanzania KIAPO CHA KUMKATAA LOWASA KAMA RASI 215 soma

    ------- zenu wote munao mshabikia lowassa amewafanya mandondocha na hivyo vi sent sent vyake
  5. T

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

    mbowe na familia yake ni wafanya biashara wa siku nyingi na kila mtanzania anajua hilo ,isipokua maccm bongo lala kama munawasi wasi naye nendeni mkamuchunguze muumbuke wenyewe .kuhusu mafisadi mulioficha pesa ulaya hamuta salimika msitumie issue ya mbowe kua na nyumba dubai kutuondoa kwenye...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania yataja sababu za kutengwa katika jumuiya ya Afrika Mashariki!!

    membe ni mtanzania anaye jivunia nchi yake na huo ndio ukweli sisi Tanzania tuko vzuri na mshauri membe aje chadema tupige kazi
  7. T

    JamiiForums Tanzania SADC vs EAC

    eac ni majanga wanachotaka ni kunyonya maziwa na asali ya Tanzania tu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge bibi miaka 60, aolewa na kijana wa miaka 26

    huyu mama hasitahili kua mbunge cjui hata alipataje huo ubunge ukoo wa panya bana kila uchao wana kuja na madudu mapya
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri please:housegal wangu ananitisha!!!

    watu wako hopeless kweli yaani wanakushauri umuludishie nyumbani,hapana umuludishie mpeleke kwa mzee wa upako au kwa kakobe akaombwe issue yako mbona ndogo sana
  10. T

    JamiiForums Tanzania Siipendi CHADEMA

    mawazo ya yule zuzu simiyu yetu atakufa na magamba yake kichwani
  11. T

    JamiiForums Tanzania Siipendi CHADEMA

    simiyu yetu ni kubwa jinga
  12. T

    JamiiForums Tanzania Siipendi CHADEMA

    mwaka 2015 hamta waona tena hao panya kwani tume andaa sumu Kali ya kuwamaliza wote nakuambia this time hawasalimiki hata mmoja
  13. T

    JamiiForums Tanzania Siipendi CHADEMA

    kumbe ni kiburudisho cha mwigulu ana bahati sana labda mwigulu atamtoa lakini tuongee pole pole mke wa mwigulu asije akasikia !
  14. T

    JamiiForums Tanzania Siipendi CHADEMA

    Acha kujikosha hakuna mtu ana shida na mamuluki, mzandiki na panya kama wewe, baki huko huko kwenye ukoo wenu wa panya !
  15. T

    JamiiForums Tanzania Diwani kata ya Usevya mbaroni kwa ujangili

    ukoo wa panya bana!
Back
Top Bottom