Siipendi CHADEMA

Siipendi CHADEMA

Unajua inaonyesha akili yako
ilivyo kwa jinsi unavyo tafsiri Akili kama Akili..
Unafikiri akili ni ile ya Darasani tu ndooo akili..
Kuna Formal na Infoirmal Knowledge.. Siku zote kwenye maedeleo ya
Leadership Akili ya kuzalia huwa inahitajika sana, ndo maana hamna shule
zinazo fundisha kuwa raisi.
Sasa sijui inamaanisha nini ukisema Mbona Mwenyekiti wa Chadema hana
Akili na anaongoza watu wenye PHD na maprf.:shocked::shocked:

mawazo ya yule zuzu simiyu yetu atakufa na magamba yake kichwani
 
Wapo baadhi ya watu wanaonitumia meseji na hata wengine kudiriki kunipigia simu wakiniambia kuwa eti thread zangu na post zangu humu JF zinaonyesha kuwa naipenda chadema.

Naomba wanijibu maswali yafuatayo..?

Naomba waniambie nakipenda vipi chama kilichoanzishwa kwenye kikao cha familia..?

Nakipendaji chama cha mamangimeza wanaojali maslahi yao binafsi na ya wachumba wao.?

Nakipendaje chama ambacho mtu mmoja ana nguvu ya maamuzi kuliko kikao na maamuzi ya kamati kuu..?

Nakipendaje chama kinachomwagia wenzao tindikali nakuteka na kudhuru waandishi wa habari..?

Nakipendaje chama ambacho viongozi wake wanawekeana sumu na wengine wanafitiniana kila uchao..?

Nakipendaje chama ambacho kinatumia damu za watanzania kama mtaji wao wa kisiasa..?

Nakipendaje chama kinachoshutumiwa kumuua mwanasiasa mwenzao chacha..?

Nakipendaje chama ambacho hawara wa kiongozi ana maamuzi kuliko kiongozi mkuu wa chama hiko..?

Naanzaje kuipenda chadema..? Niambie naanzaje..?

Msijisumbue kuniletea ushawishi wa aina yeyote "nitaleta meseji zenu hapa" za kunibembeleza lakini naomba niwaambie jambo moja tu. MWEREVU AUMWI NA NYOKA WA SHIMO MOJA MARA MBILI.
Kalagabao..!!!

Aisee dada Juliana safi sana unajitahidi,lakin mimi binafsi hata uipake vp cdm matope sitaweza kuhama! Naipenda cdm naipenda tz......! Usiku mwema dada etu
 
Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda CHADEMA kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.

1. CHADEMA imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.

Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.

Mfano ni pale CHADEMA inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.

2. CHADEMA kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.

Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.

3. CHADEMA kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c

4. Kitendo kiovu kinachofanywa na CHADEMA kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za CHADEMA ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake CHADEMA imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha CCM kutekeleza sera za CHADEMA.

5. CHADEMA imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.

Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.

Mbona tunarudishana darasani kama Mjomba Mrisho Mpoto alivyo fanya kwa ADELA? elimu yangu yenyewe ya kusuasua, hii makitu ya PHILOSOPHY na CRITICAL THINKING ya nini tena humu? itanichukua muda mrefu kuelewa. ok. let me keep questioning the content of this thread, nikiacha ku-question basi nitakuwa nimekuelewa!
 
oya, tafazali sana achana na panya. ni kweli sisi wanyiha tunakula panya lakini kutuita panya koma. tena ukome kabsaa.... we kwenu mnakula mbuzi ushakuwa mbuzi wewe? nani anatoka ukoo wa panya? tutaendelea kula panya, and there is nothing you are going to do about it!

Aaaah JF raha sanaaa
 
Pole sana. Utakufa na presha bure. Mi naizimikia CCM tu. Sijui wala sijawahi fikiria vyama vya upinzani.
 
Chadema haiko hivyo.

Members wake wote walijiunga/wanajiunga b'coz of their awareness, na mapenzi yao ya dhati kwa taifa na siyo kwa kushawishiwa kwa njia ya sms kama unavyodai ww great kilaza wa ccm.
Ni waz kuwa unatetea posho ila kwa maneno yako unaonesha ni kiasi gani umefulia na nd'o maana maccm wanaku2mia kama kiburudisho chao na sasa nackia tayari nchemba amekumimba. Utakomaje kuzaa litoto jehu kama yeye?

Una nini mpaka uombwe kujiunga cdm maalum kwa wa2 makini? Pole!
 
Mbona tunarudishana darasani kama Mjomba Mrisho Mpoto alivyo fanya kwa ADELA? elimu yangu yenyewe ya kusuasua, hii makitu ya PHILOSOPHY na CRITICAL THINKING ya nini tena humu? itanichukua muda mrefu kuelewa. ok. let me keep questioning the content of this thread, nikiacha ku-question basi nitakuwa nimekuelewa!

Read something about "satire or ironic writing" you will get all the answers!
 
Mods mbona umeiunganisha thread yenye maudhui tofauti na hii..??? Au kwa kuwa imefanana title..?

Siyo tu imefanana, bali huna jipya zaidi ya kukipaka matope chadema.
Mungu akufungue akili ujitambe. Ipo siku hiyo pilau ya ccm itakutokea puani
 
sasa naona wajipalia mkaa na unajikoka wakati gesi iko juu

ndo nini kujiyumbanisha hapa nimepaste

1. CHADEMA imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.

halafu yaelekea una upenyo mdogo wa kufikiri kama wenzio ccm hivyo acha tukuache tusije kukupeleka icu bure wakati bado ni mapema nawe hujafaidi marupurupu ya uzeeni mwako

kaka hilo ni fumbo
 
Mbona mwenyekiti wako akili yake ndogo anaongoza watu wenye phd na maprf.

Mkuu,akili ndogo kutokuiongoza akili kubwa haimaanishi Mdogo kielimu kutokumuongoza Mkubwa kielimu,unaweza kua Prof,Dr n.k, lakini bado akili yako ikawa ndogo,tafakari upya Mkuu!
 
Back
Top Bottom