Recent content by The Headmost

  1. The Headmost

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mchache kama vya yule jamaa.
  2. The Headmost

    Michango ya shule kwa wananchi nyumba kwa nyumba Mshangano Songea

    Kwa hilo tatizo lililopo hapo mtaani kwako, unashauri nini kifanyike na siyo kulalamika tu! be positive..
  3. The Headmost

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Hiyo kozi itakusaidia uweze kupata ujuzi kuhusu uthamini wa ardhi na vitu vilivyo juu yake kama majengo n.k. Pia utapata elimu kuhusu utawala wa ardhi hatimaye kuwa Land Officer. Kiujumla ili kuisoma kozi hiyo kwa mafanikio inakubidi ujitoe kwa kusoma kwa bidii na kuelewa unachokisoma. Na kujua...
  4. The Headmost

    Magufuli aagiza Stendi isiyo na kibali cha SUMATRA itumike. Adai hakuna cha SUMATRA, yeye ndo boss

    Kama kunatatizo ndiyo wanatakiwa walipatie ufumbuzi wa haraka.. wamezoea hata kama swala linaweza kutatuliwa ndani ya siku moja ..watajizunguusha mpaka ipite miezi mara miaka.. umungu mtu a.k.a urasimu/ukiritimba bye bye!
  5. The Headmost

    Tido Mhando ni kada wa CCM?

    ..kwani unajua Tido alikuwa nani?
  6. The Headmost

    Mwanza: Madereva Bodaboda na daladala waapa kuunga mkono UKUTA, wadai Magufuli amewasaliti sana

    ..kama wameamua kuungana na washika ukuta sawa! Mimi kamwe siungi mkono,, fanyeni kazi kwa bidii ili muondoke kwenye hilo kundi la kutumiwa ovyo ovyo na wanasiasa.. Hahaha wewe kijana Lembeli karudi wewe unasubiri nini!! Shtuka kataa kutumiwa na dikteta Mbowe ambaye hataki kuachia uwenyekiti wa...
  7. The Headmost

    Rais Magufuli: Wanaopinga Serikali yangu ni 'Mawakala wa Shetani'

    ..unaandika kutoka hewani au.. mara utumie neno "wengi" .sasa umefikia kuandika wapo wengi ukilinganisha na nini aiseee!
  8. The Headmost

    Rais Magufuli: Wanaopinga Serikali yangu ni 'Mawakala wa Shetani'

    Acha upotoshaji.. walianza hivyo huko wapi ilhali nchi zao hazikuwahi kubwa na uchaguzi mpaka kufikia uongozi wa uliyemtaja. Angalia huku kwetu tumekwisha fanya chaguzi kadhaa. Huyo ulioandika ni upotoshaji.. hapa Tanzania hatujawahi kuwa na dikteta na kamwe hatutarajii kuwa na dikteka. Cha...
  9. The Headmost

    SEKESEKE: Wapangaji Majengo ya CDA Dodoma wanatimuliwa muda huu

    Hivi tunaelekea wapi ..kila hatua inayochukuliwa na serikali watu wanaingiza siasa. Hata kwa hili!! Mwenye nyumba amekupa notice uondoke kwenye nyumba yake kwasababu anataka kufanya ukarabati mkubwa .. eti ukakataa ..akijakukutoa kwakutumia nguvu unalalamika.. tuache siasa kwa mambo kama haya..
  10. The Headmost

    SEKESEKE: Wapangaji Majengo ya CDA Dodoma wanatimuliwa muda huu

    Hii siyo taarifa ya kushtusha.. kwani muda waliokuwa wamepangiwa kuondoka kwa hiari umekwisha pita..
  11. The Headmost

    Zitto Kabwe atoa maelekezo mazito kwa wanachama wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa ujumla

    Katika maelezo ya Mh. Zitto hapo juu kuna sehemu imeelezwa kuwa chama chetu yaani ACT-Wazalendo asili ya uundwaji wake ni kupinga tabia za kidikteta tulizokumbana nazo ndani ya vyama tulivyokuwemo. Tafsiri rahisi ni kwamba moja ya chama lengwa hapa ni Chadema kwani chama cha siasa alichowahi...
  12. The Headmost

    Tahadhari: Mbowe ukishindwa movement ya tarehe 1, mpishe Lema awe mwenyikiti wa chama

    Hivi mpaka leo unaamini kuwa walioiharibu nchi ya Libya ni wanalibya!!! Ipo hivi hao hao wanaowatuma hawa wa kwetu ili waharibu hii nchi ndiyo hao hao waliwatumia walibya wasiowazalendo na nchi yao kutekeleza yale yanayoendelea Libya. Mh. Rais yupo sahihi kuonyesha msimamo wa kukataa hawa...
  13. The Headmost

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kisasi kwa weupe ni muhimu kwakuwa wamezoea kufanya dhuruma za kibaguzi.
  14. The Headmost

    Polisi wamejichanganya, kati ya kauli hizi mbili tuchukue ipi?

    Siasa ndiyo inaendesha maisha ya kila siku.. sahihi kabisa kwakuwa viongozi wanaotuongoza wametokana na michakato ya kisiasa na wanafanya kazi zao kama viongozi wa kisiasa. Hivyo viongozi hawa jukumu lao kubwa ni kuhakikisha wanatimiza ahadi walizozitoa kwa wananchi wao tena kwa wakati. Ni vema...
Back
Top Bottom