Ili uislamu uendelee na kizazi kijacho kiwe cha kiislamu uzazi wa mpango hauna nafasi. Kuoa wake wengi ndio nguzo muhimu ya kuhakikisha kuwa kizazi kijacho kinakuwa ni cha kiislamu. Kuzaliana kwa familia za kiislamu ni zaidi ya mara tatu ya familia za kikristu. Kuoa mke mmoja kama wanavyofanya...
Vyama vya 'upinzani' vinatakiwa viungane! viongozi wa vyama hivi waache ubinafsi! Bila kuungana kuiangusha CCM ni zaidi ya miaka 20 au zaidi ijayo!UMOJA ni nguvu. ... Halafu kwanini waita vyama vya upinzani? kwanini wasiite vyama vingine vya siasa? kama hili ni refu kwanini usitafutwe msamiati...
Chuki ya nini wakati wote ni waTZ. Tupendane tu na tusaidiane. Tuachane na ubishi usiokuwa wa maendeleo. Tuungane kupiga vita ufisadi.Tukae pamoja tuijenge Tanzania yetu.
Kuja kuwa na upinzani wa dhati tanzania hii itachukua miaka mingi sana! Chaguzi ndogo tu vyama vinanaza kugombana, do u think wanaweza kuungana na kuleta upinzani wa kweli na kuing'oa sisi M ( Mafisadi)? Ni ndoto kabisa.
Wakuu heshima zenu!
Nilishiriki kwenye mkutano fulani ambapo jamaa ambaye ana PHD kwenye engineering alitambulishwa kuwa ni Dr. J.J .. watu wakasema mbona hatumwoni akitibu wagonjwa! Ndipo professional engineer mmoja akaniambia kuwa kwenye hadhara PhD holder hastahili kutambulishwa kama daktari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.